Waziri Mkuu kuelekea Japan!

Acha viongozi wetu watutafutie fursa za kiuchumi na kibiashara watanzania kupitia uwekezaji itakayosaidia kuzalisha ajira nyingi kwetu vijana, Sasa wewe unataka wajifungie humuhumu nchini? Unazani hao wawekezaji watakuja kirahisi tu Kama ndege wa porini?
 
Sio kwamba hakuna anayesikiliza kilio cha wananchi, bali huo ndio uwezo wao..yaani "think tank" ya chama na serikali ndio imefikia "limit", hakuna tena mawazo mbadala katika hili.
 
Labda kama wamerudi kimya kimya!

Kiukweli, nawaza nini kinaendelea kwenye hii nchi! Ni kama mwili usio na kichwa, imebaki tu kiwiliwili.
Aisee!
Ukitaka kufeli nchi hii jaribu kuwa serious (mwana FA)
 
Nchi yetu Ni salama na IPO katika mikono salama wakati wote, Tanzania chini ya serikali ya CCM Ni salama na ndio maana wananchi wameendelea kuwa na Imani na CCM na kuweka matumaini katika chama hiki kimbilio la wanyonge,
Wananchi wangapi wameendelea kuwa na imani na serikali weweeee???? Unapo ongelea jambo jaribu kuliongelea kwa upande wako sio kuropoka ujinga huu hapa..."eti wananchi wana imani na ccm"...ulizunguka mitaani kukusanya maoni ya kila mwananchi???? Bila shaka wewe ni mlamba Asali... [emoji35][emoji35][emoji35][emoji1784]Shitsss!!!!!
 
Ndio nipo mtaani na naona namna CCM inavyoendelea kuungwa mkono na mamillion ya watanzania,
 
Ndio nipo mtaani na naona namna CCM inavyoendelea kuungwa mkono na mamillion ya watanzania,
Toa ujinga hapa ..kadanganye watoto wa chekechea....[emoji35][emoji35][emoji35]mkisha shiba na kuvimbiwa ndio mnaropoka ujinga[emoji1784][emoji1784]
 
Pasina shaka we ni mlamba asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…