Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Majizi ya kura, huyu 2020 na hili dikteita la zimbabwe 2023
Majaliwa alikuwa Afisa Utamaduni,mzee wa sanaa kama Rais wa Ukraine.Hii nchi ukiwaangalia walivyopiga suti utafikiri wapo smart sana kichwani .
Hamna shida waziri mkuu msaidizi yupo.
Hahahaaaa hatar sana 2025 hiyo yaja!Majizi ya kura, huyu 2020 na hili dikteita la zimbabwe 2023
Mtu ameshakuwa mfu atamzikaje mfu mwingine Sasa. Mliambiwa biblia ilikosewa muwege waelewa. Quran Haina makosa kama hayo mana ni kitabu na mwenyezi mungu tofauti kitabu chenu hicho kinacho editiwa kila kukicha kukidhi maslahi yenu. Naskia papa anataka arekebishe Sala ya "baba yetu" anasema ailikosewa kwamba mungu hawezi kutia mtu kishawishiImeandikwa "Acha wafu wazikane"
Life is game of chance (bahati),sacrifice, hard choices.ukiwa smart kichwani na ukaweza kufanya hivyo vitatu lazima uache legacy kama Nyerere,Sanakara au Tom MboyaHii nchi ukiwaangalia walivyopiga suti utafikiri wapo smart sana kichwani .
Mwafrika mtu wa hovyo sana yaani waziri mkuu tu kuondoka lazima mijitu ikusanyike hivyo na kutandika mazulia? Tuna mda wa kuchezea sana!
Mambo ya dini yanatokea wapi tena?Mtu ameshakuwa mfu atamzikaje mfu mwingine Sasa. Mliambiwa biblia ilikosewa muwege waelewa. Quran Haina makosa kama hayo mana ni kitabu na mwenyezi mungu tofauti kitabu chenu hicho kinacho editiwa kila kukicha kukidhi maslahi yenu. Naskia papa anataka arekebishe Sala ya "baba yetu" anasema ailikosewa kwamba mungu hawezi kutia mtu kishawishi
Mtu ameshakuwa mfu atamzikaje mfu mwingine Sasa. Mliambiwa biblia ilikosewa muwege waelewa. Quran Haina makosa kama hayo mana ni kitabu na mwenyezi mungu tofauti kitabu chenu hicho kinacho editiwa kila kukicha kukidhi maslahi yenu. Naskia papa anataka arekebishe Sala ya "baba yetu" anasema ailikosewa kwamba mungu hawezi kutia mtu kishawishi
Kwanini ya Aya ya kuruhusu mwamamke wa kiislamu kunyonywa matiti na mtu yoyote ilipotea??
Kwanini allah wenu aliruhusu mbuzi kula aya ya quran ambapo mpaka kesho hiyo aya haipo kwenye qurani yenu??
Hata wewe ni Mfu usiye jielewa enenda zako Mwanza zayuni!!Mtu ameshakuwa mfu atamzikaje mfu mwingine Sasa. Mliambiwa biblia ilikosewa muwege waelewa. Quran Haina makosa kama hayo mana ni kitabu na mwenyezi mungu tofauti kitabu chenu hicho kinacho editiwa kila kukicha kukidhi maslahi yenu. Naskia papa anataka arekebishe Sala ya "baba yetu" anasema ailikosewa kwamba mungu hawezi kutia mtu kishawishi
Huyo Mh Salim wanafiki wakina Jk na Mamvi Kwa tamaa ya Madaraka walimpoteza Kwa kumpakazia HizabullYaani serikali yangu imeitambua serikali ya crocodile, jizi kubwa la kura, wizi wake umekua imported kutoka Tanzania, yaani kimataifa tumebaki kuwa nchi ya vichekesho, awamu ya kwanza ,Africa ilikua inasimama kusikilizia tamko la Dar es Salaam kwa kila jambo ,sasa hata Rwanda anataka kupigana na sisi,wako wapi waliokuwa grommed na Mh.Malechela,Mh.Salim A.Salim, foreign minister's walioipa heshima nchi yangu,sasa ni maselule
Acha ujuaji ndg, shida yako umekariri ukiskia neno kifo unajua ni cha kimwili tu. Kuna kifo cha kiroho pia ambacho wewe hukijui na vifo vingine pia. Wezi (ni wafu wa kiroho) wa kura wanaenda kupongezana. Na mmoja akifa kimwili, wafu wenzake wataenda kumzika.Mtu ameshakuwa mfu atamzikaje mfu mwingine Sasa. Mliambiwa biblia ilikosewa muwege waelewa. Quran Haina makosa kama hayo mana ni kitabu na mwenyezi mungu tofauti kitabu chenu hicho kinacho editiwa kila kukicha kukidhi maslahi yenu. Naskia papa anataka arekebishe Sala ya "baba yetu" anasema ailikosewa kwamba mungu hawezi kutia mtu kishawishi
Hakupita bila kupingwa, tume yao ya uchaguzi ilitangaza alishinda kwa asilimia 52 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Nelson Chamisa, licha ya uchaguzi huo kukosolewa na waangalizi wa SADC kuwa haukuwa huru na wa hakiHuyu Jamaa Yaani Acha Tu Siku Ziende Eti Alipita Bila Kupingwa Haa Haa Majizi
Kule Kassim, Nape Na Wengine