Waziri mkuu kumwakilisha Rais Samia katika mazishi ya mzee Edwin Mtei

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba, leo Januari 24, 2026, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mazishi ya marehemu Mzee Edwin Mtei, yanayofanyika Tengeru, jijini Arusha.

Mzee Edwin Mtei, ambaye aliwahi kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuanzia mwaka 1966 hadi 1974, alifariki dunia usiku wa Januari 19, 2026, jijini Arusha.
IMG-20260124-WA0022.jpg
IMG-20260124-WA0024.jpg
IMG-20260124-WA0026.jpg
 
Hawa wauaji na watetezi wa udhulumaji haki hawakustahili kuwepo kwenye matukio yoyote ya kijamii yenye misingi ya kudhihirisha upendo na umoja.
 
Hatuwahitaji watu ambao mdomoni wanatamka upendo, wakitoka hapo wanaenda kujadili mipango ya kuteka na kuua watu.
 
WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba, leo Januari 24, 2026, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mazishi ya marehemu Mzee Edwin Mtei, yanayofanyika Tengeru, jijini Arusha.

Mzee Edwin Mtei, ambaye aliwahi kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuanzia mwaka 1966 hadi 1974, alifariki dunia usiku wa Januari 19, 2026, jijini Arusha.
View attachment 3533731View attachment 3533732View attachment 3533733
Waziri Mkuu wa Maji Taka🚮🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom