Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Jifunze demokrasia,wewe na wenzakoAnatakiwa akianza kuongea upuuzi wake azomewe vibaya sana.
Demokrasia ya kupora chaguzi na kufanya mauaji?Jifunze demokrasia,wewe na wenzako
Waziri Mkuu wa Maji Taka🚮🚮🚮🚮WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba, leo Januari 24, 2026, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mazishi ya marehemu Mzee Edwin Mtei, yanayofanyika Tengeru, jijini Arusha.
Mzee Edwin Mtei, ambaye aliwahi kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuanzia mwaka 1966 hadi 1974, alifariki dunia usiku wa Januari 19, 2026, jijini Arusha.
View attachment 3533731View attachment 3533732View attachment 3533733
Kwahiyo demokrasia ndiyo iliyotokea Oktoba 29 hadi Novemba 2 mwaka 2025?Jifunze demokrasia,wewe na wenzako
Tuna li waziri mkuu la hovyo hovyo!Anatakiwa akianza kuongea upuuzi wake azomewe vibaya sana.
Hata hivyo alizomewa Leo msibani leoAnatakiwa akianza kuongea upuuzi wake azomewe vibaya sana.