Waziri Mkuu Lebanon asema watatekeleza azimio la umoja wa mataifa kwa kupeleka Jeshi mpaka wao wa Kusini kuchukua nafasi ya Hezbollah!

Tena wewe ndo ubandike bakuli lako.
Gaza ulisemaje? Ulisema wataishia hewani hawatapeleka jeshi la ardhini kilichotokea je? Mda mwingine kukaa kimya siyo ujinga
 
Umeuona huo mwili au umesikia?

Suala ni kwamba bomu limepigwa akafa. Mengine ni faraja tu.

Basi sawa hajafa kwa bomu
 
Tena wewe ndo ubandike bakuli lako.
Gaza ulisemaje? Ulisema wataishia hewani hawatapeleka jeshi la ardhini kilichotokea je? Mda mwingine kukaa kimya siyo ujinga
Sa mimi nakuliza swali huko Gaza vita vimeisha au bado? Sa nilicho ongea ni sawa Israel alisema atawamaliza Hamasi mda wa week tatu tu leo wako mwaka mzima sa uwongo wangu uko wapi?.

Nilicho ongea ni sawa Israel wanamalizwa kule Gaza kila kukicha na ukweli Israel hawapigani na Hamasi wanacho fanya kukimbilia kuwauwa watoto, wanawake na kuvunja majumba. We kapime akili zako kama unadhani nilicho ongea si sawa. Huyo kusema wamewauwa viongozi wa Hamas wabaxo dalili, iko wapi maiti ya Commander Mohamed Al Dheifu?

We kama unadhani kuingiza boots ndani ya ardhi ndio umeshinda vita hio ni akili ya kitoto, kushinda ni kutimiza ahadi za vita. Unapigana vita kwa target ipi hio ndio point.

Target ya Israel ilikuwa ni kuvunja silaha za Hamas, kuwaokoa matekwa na kuitawala Gaza yote hayo kashindwa 😄

Target ya vita na Hezbullah ni kuwarudisha wananchi wake north. Je wamerudi?

Hio ya kumua kiongozi wa Hezbullah hio si ushindi sababu vita bado vinaendelea kama kawaida. Sa kashinda?

Kuhusu Yemen kule ndio asahau kabisa wale, kasome history zao. Hakuna taifa limeweza kuwashinda, mfano mdogo tu US na wenzake hao wa Nato walienda kuwazuia Yemen wasizuie meli kwenda Israel wameweza, aweze omba omba huyo Israel kuwashinda hio ndoto ya mchana bado hujalala 😄
 
Kasimamishwa yeye sasa!

We ni kakikundi tu, alafu unavimbia watu wenye nguvu zao kweli
 
Umeuona huo mwili au umesikia?

Suala ni kwamba bomu limepigwa akafa. Mengine ni faraja tu.

Basi sawa hajafa kwa bomu
Nimeuona ndio hana hata alama ya damu kulicho muwa ni vitu viwili ama moshi kakosa oxygen au chemical au mshtuko akapata heart attack. Hizo silaha za US hata meter 3 hazijafika ndio zikabomoe bunker za Hezbullah 😄
 
Umeandika nini sasa shekhe?

Kila mtu anajua bomu la Israel ndio limemuwahisha kwa mabikra na mito ya pombe huyo gaidi.

Nmeona sehemu wanasema kwamba Israel ilianza kuwafuatalia hao jamaa toka kitambo. Na walitumia njia nyingi ikiwemo mic zilizosetiwa kwenye rimoti za TV.
Na ilikuwa auliwe mwaka jana ila walipoitaarifu Marekani ikawaambia wasuburi.

Allah kafeli vibaya mno.

🇮🇱🇱🇧The Financial Times reports how Israeli intelligence spent years gathering information to identify Hezbollah fighters, their locations and hierarchy.

For surveillance, military intelligence "AMAN" used spy satellites, drones, cyber hacking, surveillance cameras, as well as microphones from TV remotes and relatives' phones.

When a fighter was identified, his movements were entered into a database. Obituaries and funerals also helped identify his circle of acquaintances and senior commanders.

According to the publication, last year Israel was already ready to kill the movement's leader Nasrallah, but abandoned its plans due to US intervention.
 
#BREAKING Israel has told Washington it is planning a limited ground operation in Lebanon that could start imminently - WaPo — Reuters
 
#BREAKING Israel has told Washington it is planning a limited ground operation in Lebanon that could start imminently - WaPo — Reuters
Sawa wacha waingie tuone kama hawakukimbia, hio ya kusema limited ground operation ni uwongo mtupu, ili wakifurushwa huko waseme target yao ilikuwa limited operation 😄
 
Hizo ni propoganda tupu wao wenyewe Israel wanasema vingine wanasema kuna jasusi alimuamkia Nasurlah kama dakika mbili tu tukamuwahi kumuwa. Mara tulikuwa tuna infomation kabla ya week hawana lolote hao. Ukweli kuna jasusi wamemtumia wa ki Iran na Mlebanon kutimiza agenda zao na wengine wanasema Iran walifanya deal na uS.

Hio ya gazeti lako financial times wenye akili za kitoto tu ndio watamini 😄
 
Hezbollah hata wasipokubali watalazimishwa tu. Wewe bado unawaamini hao Ayotollahs? 🤔
🏴‍☠️⚡️ Israeli media: The mayor of Metula is calling its residents, urging them to evacuate immediately.

🚩 @ResistanceTrench
 
Swala ni kwamba amekufa na kufuata mabikra 72 wa akhera wenye macho kama mayai, hayo mengine kwa sasa hayana maana yoyote.
 
Hata kule Gaza kumbe IDF hawakuthubutu kuingiza jeshi, mpaka leo bado lipo mpakana lakini vyombo vya habari vinadanganya kuwa Israel wapo Gaza
Watu sampuli yenu ndio wale ambao bado watadai gaidi Nasrallah hajafa na kwamba anawalia waisraeli gepu.🤣🤣🤣
 
Sasa kumbe Nchi Ina jeshi, kwanini wakawacha wahuni wajitwalie tu kama wanavyotaka.
Moja ya vitu vinakanganya kwenye hii vita ni jinsi haya makundi yanavyo jiingiza kwenye mapigano wakati mahala pabkujificha ni kwenye majumba ya watu, na vita visivyo na adabu sasa raia wasio na misi.amo wowote wanatolewa kafara ya kulipuliwa. Ina umiza sana
 
Hezbollah wanawalinda Washia na kufanya kazi za Iran
Waivunje hiyo Armed Wing wabakize Hezbola Party ambayo iko Bungeni halafu hao vijana wao waingizwe kwenye Jeshi la Nchi ya Lebanon ili walinde mipaka ya Nchi yao bila kumpigania Allah.

Kumpigania Allah ni ugaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…