startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,148
- 1,478
Tena wewe ndo ubandike bakuli lako.Hawezi kuingiza jeshi lake Lebanon anajua kinacho mgojea hiyo fake victory ya Israel kwa kusaidiwa na majasusi wake ni ya temporary tu. Kwanza hilo boom.mnalo lisifia MK84 wala halikufika alipo kuwa Nasurlah, sababu nwili wake kuna mawili ama ni mshtuko wa yale maboom walio piga ton 80 au kuna chemical walitumia ndio kafa Nasurlah.
Gaza ulisemaje? Ulisema wataishia hewani hawatapeleka jeshi la ardhini kilichotokea je? Mda mwingine kukaa kimya siyo ujinga