Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Wakati wa awamu ya tano mbona iliwezekana??
Kusomesha yatima wote?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wa awamu ya tano mbona iliwezekana??
Yatima wengine wasomeshwe na nani?
Kwanini hao pekeyake?Watoto wa Daud Mwangosi vipi,nani atawasomesha?
Vipi wa Azory Gwanda?
Hizo billioni 300 walizopewa na samia wanashindwaje kusomesha mtoto wa saa8?Awachukue na wa Ben saa 8
Kwani ben saa 8 ni muisiharamu ....acha ujingaAwachukue na wa Ben saa 8
Daudi ni kafiri ...sisi tuna somesha maustadhi ... kama wewe siyo muisiharamu pita [emoji117] kuleKwanini hao pekeyake?Watoto wa Daud Mwangosi vipi,nani atawasomesha?
Huyo kafiri mama amtakiVipi wa Azory Gwanda?
Kafiri kaa kimya tena kwa kutulia kabisa ...tuache wahisialamu tunywe asali ...mbowe na kenge wenzie tutawapa ya kulamba tuInapendeza, ila ngoja nikae kimya...
Pm ni mbunge wa uko,kwa hiyo anajitoa kama mbunge na sio pmKwanini hao pekeyake?Watoto wa Daud Mwangosi vipi,nani atawasomesha?
Unawaonea wivu hadi watoto wa marehemu!Yatima wengine wasomeshwe na nani?
Nimestaajabu kwa kweli,Wenye wivu wanatoa mapovu daah nchi hii tumefikia hatua ya kuwaonea wivu hata watoto
LissuKwanini hao pekeyake?Watoto wa Daud Mwangosi vipi,nani atawasomesha?
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameahidi kuendelea kuwasomesha Watoto wa aliyekuwa mwandishi wa Habari wa Channel Ten, Abdul -Aziz Ahmed ambaye amefariki Dunia Machi 13, 2023 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Majaliwa ametoa ahadi hiyo wakati wa ibada ya kumuaga marehemu Aziz ambapo amesema alikuwa ni moja kati ya waandishi waliokuwa wakiutangaza mkoa huo vizuri. Aziz amepumzishwa katika makaburi ya Mitandi Manispaa ya Lindi.
Aidha, kauli ya Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi, Fatuma Maumba akimzungumzia msibani hapo amesema Abdulaziz Ahmed hakuwa mtu wa kuficha mambo, alikuwa mpambanaji na alifanya kazi kwa ushirikiano mkubwa na Wadau wengi.
Tulia mkuuUnawaonea wivu hadi watoto wa marehemu!
Wewe pia si uwasomeshe wengine