Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Wizi upo, nchi zote upo. Ubaya ni kila mtu kuiba.Ile kashfa ya familia yake kukwepa kodi kwenye biashara ya vitenge imeishia wapi?
Mi najiuliza hao TAKUKURU hawawezi kufanya kazi ya uchunguzi bila kupewa order na wanasiasa wa CCM?Hii kazi anafanya Waziri Mkuu Majaliwa ya kudeal na wabadhirifu ni nzuri sana. Ingefanywa kwa ukubwa zaidi na ingekuwa endelevu ingetufaa sana.
Ila najiuliza, madudu yote hayo wakuu wa mikoa huwa wanakuwa wapi? Na wenyewe wanahusika na huo ubadhirifu au ni mamna gani? Wanafaida gani kama kuna madudu hivyo yanaendelea kwenye maeneo yao ya kazi?
Hata maza anafeli Kuna ubabaishaji mwingi kwenye ukamilishaji wa miradi sababu kubwa dokta amezidi upoleHii Ni kufeli kwa system na hata yeye mwenyewe alisema inakuaje wanasubiria Waziri Mkuu?
Kufeli kwa system na inajidhalilisha
Huo Upigaji aliouibua PM ilifanyika Miaka ya Jiwe na Wala PM asingethubutu kuongea hayo ili Kuaibisha utawala wa Mwendazake.Hata maza anafeli Kuna ubabaishaji mwingi kwenye ukamilishaji wa miradi sababu kubwa dokta amezidi upole
Watu sa hizi wanajipigia tu.
Serikali ya Rais Samia Suluhu imekua ya moto kweli kweli kwa waliozoea upigaji pole yaoHii kazi anafanya Waziri Mkuu Majaliwa ya kudeal na wabadhirifu ni nzuri sana. Ingefanywa kwa ukubwa zaidi na ingekuwa endelevu ingetufaa sana.
Ila najiuliza, madudu yote hayo wakuu wa mikoa huwa wanakuwa wapi? Na wenyewe wanahusika na huo ubadhirifu au ni mamna gani? Wanafaida gani kama kuna madudu hivyo yanaendelea kwenye maeneo yao ya kazi?
NonsenseHuo Upigaji aliouibua PM ilifanyika Miaka ya Jiwe na Wala PM asingethubutu kuongea hayo ili Kuaibisha utawala wa Mwendazake.
Anatimiza majukumu yake kama mkuu wa shughuli za kila siku za Serikali, mambo mengine hayapendezi kuyaongea. #Mwacheni PM atimize wajibu wake na Rais achape kazi kwa vipindi vyake🙏🙏🙏Samia angempisha tu waziri mkuu awe rais