Vyeo vya ukuu wa wilaya havitegemei taaluma au weledi wa mtu. Wateuliwa kiuchawa chawa tu. Hivyo maDC anashindwa kufanya chochote kwa wabadhirifu kwasabb hao hao ndiyo waliowapa connection ya uDC.
Au waweza kukuta kampuni inayojenga ni ya Samia, Mpango, Tulia, CDF, Waziri, n.k. Huyo DC unategemea atafanya nn ktk hali Kama hiyo?
Hata huyo PM anafoka foka tu mbele ya kamera lkn mwisho wa siku waliovurunda mradi hawafanywi kitu. Sana sana anaweza kumwangushia mnyonge yeoyote (DED, DC) zigo lkn mafisadi yakadunda tu.