wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 495
- 775
Aende Arusha piaAnatimiza majukumu yake kama mkuu wa shughuli za kila siku za Serikali, mambo mengine hayapendezi kuyaongea. #Mwacheni PM atimize wajibu wake na Rais achape kazi kwa vipindi vyake[emoji120][emoji120][emoji120]
Kwa hiyo yeye kazi yake ni kusafiri tu kwenda ulaya kuombaomba?Anatakiwa na yeye aje kuwahudumia watz waliomrithisha madaraka.Anatimiza majukumu yake kama mkuu wa shughuli za kila siku za Serikali, mambo mengine hayapendezi kuyaongea. #Mwacheni PM atimize wajibu wake na Rais achape kazi kwa vipindi vyake[emoji120][emoji120][emoji120]
Serikali ni team ndugu yangu. Kila mmoja ana nafasi yake. Hata anayoyaibua PM kuna watu chini wameifanya hiyo kazi# Tuheshimu kazi za mkuu wa nchi na za viongozi wengine.🙏🙏🙏Kwa hiyo yeye kazi yake ni kusafiri tu kwenda ulaya kuombaomba?Anatakiwa na yeye aje kuwahudumia watz waliomrithisha madaraka.
Si ndo nimeuliza ule ukwepaji kodi wa familia yake kwenye biashara vitenge umeishia wapi?Wizi upo, nchi zote upo. Ubaya ni kila mtu kuiba.
Hilo Ulaya unajiita kuomba omba anawaombea Pesa kina Nani? Punguza upumbavuKwa hiyo yeye kazi yake ni kusafiri tu kwenda ulaya kuombaomba?Anatakiwa na yeye aje kuwahudumia watz waliomrithisha madaraka.
Kwa mfano yanayoitwa kuibuliwa na PM binafsi nayafahamu mda mrefu Wala haikuwa siri..Serikali ni team ndugu yangu. Kila mmoja ana nafasi yake. Hata anayoyaibua PM kuna watu chini wameifanya hiyo kazi# Tuheshimu kazi za mkuu wa nchi na za viongozi wengine.🙏🙏🙏
Ni usaniii mtupu, Jiulize mifumo haifanyi kazi? Kama haifanyi kazi je zinahitajika trilion ngapi kuifanya ifanye kazi? So atazunguka nchi nzima kukagua?Hii kazi anafanya Waziri Mkuu Majaliwa ya kudeal na wabadhirifu ni nzuri sana. Ingefanywa kwa ukubwa zaidi na ingekuwa endelevu ingetufaa sana.
Ila najiuliza, madudu yote hayo wakuu wa mikoa huwa wanakuwa wapi? Na wenyewe wanahusika na huo ubadhirifu au ni mamna gani? Wanafaida gani kama kuna madudu hivyo yanaendelea kwenye maeneo yao ya kazi?
Kwa rasilimali zote tulizonazo Tanzania hakuhitaji huyo kwenda ulaya kuomba omba.Anatudhalilisha sisi wazalendo na kama haoni pakuzipata pesa ajiuzulu ili tuingie wazalendo tunaojua kutumia rasilimali vizuri tulizobarikiwa na MunguHilo Ulaya unajiita kuomba omba anawaombea Pesa kina Nani? Punguza upumbavu
Hivi ww Una miaka mingapi?Serikali ya Rais Samia Suluhu imekua ya moto kweli kweli kwa waliozoea upigaji pole yao
Rasilimali za Tanzania zinasubiria Rais ndio zikufaidishe? Punguza upumbavuKwa rasilimali zote tulizonazo Tanzania hakuhitaji huyo kwenda ulaya kuomba omba.Anatudhalilisha sisi wazalendo na kama haoni pakuzipata pesa ajiuzulu ili tuingie wazalendo tunaojua kutumia rasilimali vizuri tulizobarikiwa na Mungu
Duh...wewe bila kumsema Jiwe huwezi fika MSHINDO?Huo Upigaji aliouibua PM ilifanyika Miaka ya Jiwe na Wala PM asingethubutu kuongea hayo ili Kuaibisha utawala wa Mwendazake.
Jiwe Ni shida mkuuDuh...wewe bila kumsema Jiwe huwezi fika MSHINDO?
Tatizo mfumo na uwajibikaji mkuuNi usaniii mtupu, Jiulize mifumo haifanyi kazi? Kama haifanyi kazi je zinahitajika trilion ngapi kuifanya ifanye kazi? So atazunguka nchi nzima kukagua?
Hakuna kazi ya maana anafanya, Wizarani kuna uozo kupita kiasi sema kwa vile kule kuna Mawaziri na Makatibu wakuu wanakula nao ndiyo maanaHii kazi anafanya Waziri Mkuu Majaliwa ya kudeal na wabadhirifu ni nzuri sana. Ingefanywa kwa ukubwa zaidi na ingekuwa endelevu ingetufaa sana.
Ila najiuliza, madudu yote hayo wakuu wa mikoa huwa wanakuwa wapi? Na wenyewe wanahusika na huo ubadhirifu au ni mamna gani? Wanafaida gani kama kuna madudu hivyo yanaendelea kwenye maeneo yao ya kazi?
99% kampuni ni za makada wa CCMVyeo vya ukuu wa wilaya havitegemei taaluma au weledi wa mtu. Wateuliwa kiuchawa chawa tu. Hivyo maDC anashindwa kufanya chochote kwa wabadhirifu kwasabb hao hao ndiyo waliowapa connection ya uDC.
Au waweza kukuta kampuni inayojenga ni ya Samia, Mpango, Tulia, CDF, Waziri, n.k. Huyo DC unategemea atafanya nn ktk hali Kama hiyo?
Hata huyo PM anafoka foka tu mbele ya kamera lkn mwisho wa siku waliovurunda mradi hawafanywi kitu. Sana sana anaweza kumwangushia mnyonge yeoyote (DED, DC) zigo lkn mafisadi yakadunda tu.
Umuhimu wao wakati wa uchaguzi tuHii kazi anafanya Waziri Mkuu Majaliwa ya kudeal na wabadhirifu ni nzuri sana. Ingefanywa kwa ukubwa zaidi na ingekuwa endelevu ingetufaa sana.
Ila najiuliza, madudu yote hayo wakuu wa mikoa huwa wanakuwa wapi? Na wenyewe wanahusika na huo ubadhirifu au ni mamna gani? Wanafaida gani kama kuna madudu hivyo yanaendelea kwenye maeneo yao ya kazi?