Waziri Mkuu Majaliwa anafanya kazi nzuri sana. Sasa Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanafanyaga kazi gani?

Wananjuana wenyewe bwana. Sisi tuendelee kulima tu
 
wakuu wa Mikoa na Wilaya ni magunia ya misumari kwa walipa kodi.
Hawana msaada wowote kwa serikali zaidi ya msaada kwa ccm!
Ni vyeo ambavyo vinatakiwa kuondolewa na Katiba ili kuokoa fedha zetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…