Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hawezi kua mbunge wa kawaida tuSawa ila siyo waziri mkuu Tena
Yani kama yule Ex - 1st lady ndio huwa simuelewi kabisa..Ni mara mia angeboresha ile WAMA yake..UJINGA tuIla watu wa kusini sijui wana nini? Mbona aibu za reja reja zina epukika kabisa?
1St Lady kuwa mgonga meza.
PM anataka kuwa mgonga meza bila cheo. Lol
Ulafi wa madaraka ni Uraibu, kuliko neno lenyewe. Uwiiiih.
Tamaa ya madaraka itamuua. Licha ya kufeli kwenye majukumu yake ya uwaziri mkuu hadi kuteuliwa Naibu Waziri mkuu amfundishe kazi, bado anatamani kugombea akitarajia kuteuliwa tena? Atasubiri sana.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma.
"Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa nikitekeleza majukumu ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezi Mungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena."
Soma, Pia: Ruangwa wamlipia Fomu ya Urais Dkt. Samia na Ubunge Majaliwa
Ulafi wa madaraka ni uraibu, kheri angerudi shule kufundisha, tungejua anaipenda kazi yake. Lol.Yani kama yule Ex - 1st lady ndio huwa simuelewi kabisa..Ni mara mia angeboresha ile WAMA yake..UJINGA tu
Huyu angepumzika tuIla watu wa kusini sijui wana nini? Mbona aibu za reja reja zina epukika kabisa?
1St Lady kuwa mgonga meza.
PM anataka kuwa mgonga meza bila cheo. Lol
Ulafi wa madaraka ni Uraibu, kuliko neno lenyewe. Uwiiiih.
Angestaafu Ingempa heshima Fulani hata angetaka kugombea kiti Kikuu ingekuwa vizuri zaidiDah! Angestaafu kulingana na wadhifa alio nao angeheshimika sana, tofauti na hapo tafsiri itakuwa haridhiki na alivyo navyo.