PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa akiaga Bunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Namuheshimu sana huyu, ningepata nafasi ya kumshauri ningemwambia asigombee, ipite miaka 5 alafu arudi atie Nia ya kugombea. Ila wakati huu angepumzika tu ila asikubali kuwa chini ya uongozi wa mwanamke
 
Ila watu wa kusini sijui wana nini? Mbona aibu za reja reja zina epukika kabisa?

1St Lady kuwa mgonga meza.
PM anataka kuwa mgonga meza bila cheo. Lol

Ulafi wa madaraka ni Uraibu, kuliko neno lenyewe. Uwiiiih.
wanashangaza kwa kweli huyo 1St lady ana mafao ya wenza wa wastaafu analipwa 60% ya mshahara wa rais aliye madarakani..PM mstaafu nae analipwa 80% ya mshahara wa PM aliye madarakani na hapo bado posho na maruprupu mengine kwa asilimia hizo hizo..sasa hawa wanataka wapewe nini waridhike.!
 
Hata hatuelewiii. Lol
 
Naunga mkono agombee, ili kupunguza gharama kwa serikali. Akiendelea kuwa waziri mkuu gharama zitabaki hizo hizo za kugharamikia viongozi wa serikali. Waziri Mkuu mstaafu analipwa !
 
'No Matter what you have still you need more'
This is pure characteristic features of satan that wanted to become like God in Power, this self-centered spirit leads to downfall of many selfish unsatisfied corrupt African Leaders. It is Never enough for them until death separate them from the love of temporal worldly materials,
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma.

"Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa nikitekeleza majukumu ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezi Mungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena."

Soma, Pia: Ruangwa wamlipia Fomu ya Urais Dkt. Samia na Ubunge Majaliwa

Huyu naye anajidhalilisha, umeshakuwa waziri mkuu miaka 10 unahangaika nini tena na ubunge. Fanya kitu kingine, kwani lazima uwe mbunge? UNAJIAIBISHA WEWE MAJALIWA.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma.

"Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa nikitekeleza majukumu ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezi Mungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena."

Soma, Pia: Ruangwa wamlipia Fomu ya Urais Dkt. Samia na Ubunge Majaliwa

20250622_092810.jpg
 
wanashangaza kwa kweli huyo 1St lady ana mafao ya wenza wa wastaafu analipwa 60% ya mshahara wa rais aliye madarakani..PM mstaafu nae analipwa 80% ya mshahara wa PM aliye madarakani na hapo bado posho na maruprupu mengine kwa asilimia hizo hizo..sasa hawa wanataka wapewe nini waridhike.!
Malengo yake hayajatimia
 
Back
Top Bottom