PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa akiaga Bunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma.

"Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa nikitekeleza majukumu ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezi Mungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena."

Soma, Pia: Ruangwa wamlipia Fomu ya Urais Dkt. Samia na Ubunge Majaliwa

Mi 5 tena kwake
 
Wewe umejuaje ? Yawezekana kaahidiwa na mama kuwa atateuliwa tena.
Ateuliwe tena ili iweje? We huoni mpaka paliundwa Ofisi ndani ya Ofisi yake? Ile kuletwa Naibu Waziri Mkuu ilipaswa kuwa Red flag tosha kuwa hawamtaki.

Kwa kuhuduma kwa Miaka kumi kama PM ilitosha sana kuwa tayari ametengeneza mtandao ivo kwa sasa angekaa nje ya Ulingo kusubiri Mafuriko ya 2030 ambapo kama kweli angekuwa na mtandao vyema angekuwa uodated tu na 2030 angechukua form ya urais With big dignity

Majaliwa pia anakubalika na Umma ana influence fulani
 
Mwenzie mpango kaamuua kustaafu,yeye bado tu haridhiki
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma.

"Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa nikitekeleza majukumu ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezi Mungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena."

Soma, Pia: Ruangwa wamlipia Fomu ya Urais Dkt. Samia na Ubunge Majaliwa

Wagombea wengine wajiandae kutekwa.
 
Jimbo la Rombo, Kijana msomi ametangaza nia.
 
Attachments

  • IMG_20250626_212708.jpg
    IMG_20250626_212708.jpg
    169 KB · Views: 16
Hawa bila wizi wa kura huwa hawapatigi hata 20% ya kura zote.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma.

"Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa nikitekeleza majukumu ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezi Mungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena."

Soma, Pia: Ruangwa wamlipia Fomu ya Urais Dkt. Samia na Ubunge Majaliwa

Typical of African leaders kudhanj kuwa somehow nafasi ya uongozi ni yako milele. What a shame!
 
Aliiba hela yeye na Ummy. Mama akataka kumpiga benchi ila Kikwete akaingilia akasema italeta taswira mbaya hivyo bora aje naibu waziri mkuu ambae atamuachia majukumu yake yaliyo mengi ayafanye yeye. Kwaio saiv majukumu mengi ya kifedha ya Majaliwa kapewa Dotto
mama gani? kuna mwizi kuliko huyo mama? hivi watu mmelewa mnapokuja humu au? samiya anaweza kumuwajibisha mtu kwa wizi? yeye mwenyewe mwizi mkubwa na huyo fisadi Kiwete asiyetaka kustaafu
 
Aliiba hela yeye na Ummy. Mama akataka kumpiga benchi ila Kikwete akaingilia akasema italeta taswira mbaya hivyo bora aje naibu waziri mkuu ambae atamuachia majukumu yake yaliyo mengi ayafanye yeye. Kwaio saiv majukumu mengi ya kifedha ya Majaliwa kapewa Dotto
Nikupe tuu taarifa.
Yeye na ummy zilikuwa hazipandi. Ummy ndo alikuwa anamdharau na kumfitini hadi mama akamteua Dotto.
Basdae mama alikuja kujua ni fitna pale alipotumiwa clip ya ummy akimsema bibaya mama na na akamtumbua ila tayari alishamteua Doto na hapo imani ikamrejea mama kwa Kassinu
 
Ubarikiwe sana Mipango yeye ataenda zake benchi......kuna Record ukishavunja maishani usirudi nyuma tena kama yule wa Rais mstaafu anayekataa kuachia bungee hivi si aachie hiyo riziki kwa familia nyengi e jamani...
 
Kazi ya bunge ndio top job Kwa Tanzania unataka akafanye Kazi Gani Sasa Kwa umri wake!!! Astaafu harafu awe benchi asubilie nafasi za kuhurumiwa!!
Yule akistaafu hela anayokula kwa mwezi ni ndefu mno, tamaa imemzidi huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom