Ili asipate mpinzani wa kumpinga, akili za kijinga hizo.Ndo aliwaambia vijana wa degree waende veta uyo
Yanakera Sana haya majitu.Kutoka kwenye ajira hawataki Alafu wakishapita badae wanakuja kutuambia hakuna ajira na kutengeneza ajira sio kazi yao tukajiajiri huko
Wewe umejuaje ? Yawezekana kaahidiwa na mama kuwa atateuliwa tena.Sawa ila siyo waziri mkuu Tena
Kaahidiwa kuteuliwa tenaPM anataka kuwa mgonga meza bila cheo. Lol
Kwa hali hii tusahau kuhusu maendeleo.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma.
"Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa nikitekeleza majukumu ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezi Mungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena."
Soma, Pia: Ruangwa wamlipia Fomu ya Urais Dkt. Samia na Ubunge Majaliwa
Kaahidiwa kupewa tena uwaziri mkuu na mama yenuHuyo amesahau nini Bungeni. Waziri Mkuu mzima unaenda kukaa back bencher.
Yaani angestaafu ingekua heshima kubwa..Huyu angepumzika tu
Hivi hawa watu hawaoni
Aibu,maana akirudi atakuwa mbunge alafu hana uwaziri mkuu
Akiwa bungeni ataanza kuomba wajengewe sijui matundu ya choo,mara visima vya maji,mara anaomba madawati
Ova
Ila watu wa kusini sijui wana nini? Mbona aibu za reja reja zina epukika kabisa?
1St Lady kuwa mgonga meza.
PM anataka kuwa mgonga meza bila cheo. Lol
Ulafi wa madaraka ni Uraibu, kuliko neno lenyewe. Uwiiiih.
CCM wasimrudishe kabisa bungeni wampige chini iwe funzo kwa waroho wa madaraka kama yeye .Kuwa baada ya kutumikia uwaziri mkuu miaka 10 na kuhakikishiwa kupata mafao maisha yake yote yeye na mkewe asilimia 80 ya current mshahara wa aliyepo anafuata nini tena bungeni?Huyu naye amekuwa mlafi.
Cheo alichofikia hakupaswa kurudi bungeni kupiga makofi.
Kwa hskika hawezi kuwa Waziri mkuu tena
Kabisa.....huyo anaenda kujiabishaYaani angestaafu ingekua heshima kubwa..
Nikama jakaya mrisho kikwete aende kuomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya CCM chalinzee.
Waziri mkuu ange staafu ingekua heshima kubwa kwake either ana ndoto za kuja kuwa Raisi mtukufu mtarajiwa after 2025 I mean 2030.
Huyu ni chawa mwenzii hawatamkataCCM wasimrudishe kabisa bungeni wampige chini iwe funzo kwa waroho wa madaraka kama yeye .Kuwa baada ya kutumikia uwaziri mkuu miaka 10 na kuhakikishiwa kupata mafao maisha yake yote yeye na mkewe asilimia 80 ya current mshahara wa aliyepo anafuata nini tena bungeni?
Hawa ndio huleta machafuko kwenye nchi
CCM kateni jina bila huruma Wala msimwangalie usoni.Raisi akikaa miaka 10 anaondoka uongozi for good.Huyu Majaliwq kakaa miaka 10 kateni tu jina asirudi bungeni
Raisi Samia aachwe atengeneze timu yake asipewe wakati mgumu kutengeneza timu yake ya 2025 -30
Majaliwa asigombee Akigombea CCM ikate jina.Kuna watu wanatakiwa kulazimishwa kuondoka na CCM akiwemo Majalliwa
King'ang'anizi.Hii iende hadi kwa wabunge ving'ang'anizi.CCM iwalizimishe kuondoka kwa kukata majina yao