Waziri Mkuu Majaliwa awasili lilipoporomoka jengo Kariakoo, uokoaji waendelea

Waziri Mkuu Majaliwa awasili lilipoporomoka jengo Kariakoo, uokoaji waendelea

Hapana hii nadhani inaenda almost dunia nzima kizazi hiki kimekuwa kizito sana ku act
Unaona Yale maporomoko ya Valencia watu wameimind serikali tena kwa maandamano kuwa imekawia sana kutoa msaada
Hizi serikali za Sasa huwa zinakaribia kwa haraka sana kwenye
1.mpira
2.Mziki
3.tuzo
4.kufungia biashara
5.maandamano ya upinzani
Sad
 
Ukweli ubaki hivi hivi, Afrika hatuna viongozi serious asee!.

Yaani rais, rais, rais every rais anasema pole rais anasema kaa kwa kutulia aseee!!.

Mh. Waziri mkuu anaongea hayo huku watu wapo chini huko, no uokoaji serious.

Kuna mtu hapa kwenye daladala anasema, 'itakuwa kafara hiyo ndiyo maana wanajivuta', mimi sijui ila siyo poa ndg zangu.
 
Mpaka lini ufisadi, rushwa wizi, kukosa usimamizi kutoka kwa wakurugenzi wa halmashauri, viwango duni n.k katika sekta ya makandarasi wa ujenzi, ukaguzi kuona jengo linatumika kwa shughuli mahsusu lililojengewa na kutokuwa kuzidiwa overloaded na uzito wa mizigo ya kibiashara, bidhaa n.k Jeshi la Zimamoto pia lihusike kukagua shughuli katika majengo

1731760368805.jpeg


TUGEUKIE WASIMAMIZI WA SEKTA HII WANAORATIBIWA NA SERIKALI KWA KARIBU
1731760597628.jpeg

Umoja wa wahandisi na wakandarasi umesema unatarajia kutoa helkopta ya shilingi bilioni 10 na kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya kununulia mafuta yatakayotumika kwenye usafiri huo kwa ajili ya kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

View: https://m.youtube.com/watch?v=HTm_iHLe4jU
 
Hapo ndipo tunaomwamini Allah na kimuabudu tunaomba tunapotoka asubuh tutoke salama na turud salama, mengneyo utalaumu na hakuna wa kukusaidia, leo sijatoka kabisa namshukuru Allah, Ewe Allah wanusuru walio kwenye jengo Hilo watoke salama kwani wewe ni muweza wa yote.
 
Back
Top Bottom