Waziri Mkuu Majaliwa awasili lilipoporomoka jengo Kariakoo, uokoaji waendelea

Waziri Mkuu Majaliwa awasili lilipoporomoka jengo Kariakoo, uokoaji waendelea

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasili Kariakoo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujionea hali ya uokoaji inavyoendelea katika jengo la ghorofa liliporomoka leo Jumamosi Novemba 16, 2024 asubuhi.
View attachment 3153706
Soma, Pia:
Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16

Rais Samia atoa pole kwa waathirika Kariakoo. Aagiza kufanywa kila linalowezekana kufanikisha zoezi la uokoaji na tiba kwa majeruhi
Kizururaji! Kaacha watu wanalia,kakimbia
 

Attachments

  • IMG-20241116-WA0046.jpg
    IMG-20241116-WA0046.jpg
    226.5 KB · Views: 1
  • IMG-20241116-WA0039.jpg
    IMG-20241116-WA0039.jpg
    160.8 KB · Views: 1
  • IMG-20241116-WA0037.jpg
    IMG-20241116-WA0037.jpg
    150.1 KB · Views: 1
ukiambiwa ua
Hapana hii nadhani inaenda almost dunia nzima kizazi hiki kimekuwa kizito sana ku act
Unaona Yale maporomoko ya Valencia watu wameimind serikali tena kwa maandamano kuwa imekawia sana kutoa msaada
Hizi serikali za Sasa huwa zinakaribia kwa haraka sana kwenye
1.mpira
2.Mziki
3.tuzo
4.kufungia biashara
5.maandamano ya upinzani
ndamanekupinga udhalimu aaah kazi kuja kulalamika kwenye keyboard.
 
Back
Top Bottom