muheza2007
JF-Expert Member
- Mar 19, 2010
- 483
- 771
Mgonjwa wangu kapelekwa icu jana kwa Corona. Looh hawa wanasiasa watatuangamiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni hivyo, mbona hawafungui basi shule hadi za msingi?Kwa hiyo muda si mrefu tunafunga hospitali zote zilizoteuliwa kwa ajili ya corona. Mungu anatupenda sana sana hata kipimo hakipo
Lini tunaanza kuokota mizoga barabarani?Sasa bwashee nitamuamini vipi kama tu jana Hassan Abbas kapeleka vyombo vyote vya habari chaka kwa ku post ndege hewa? Huyu naye muongo tu maana naongea nina uhakika na taatifa zangu bwashee. Huko kambini wamejaa waongo na wapotoshaji ndiyo maana siwasikilizi hata habari zao siwezi kunukuu bwashee.
Kwani tulisema ugonjwa umeisha au umepungua? Kama kazidiwa na kisukari na presha ulitaka apelekwe wapi sasa?Mgonjwa wangu kapelekwa icu jana kwa Corona. Looh hawa wanasiasa watatuangamiza
Kwa ninavyojua curve ya huu ugonjwa sisi Tanzania tutakuwa kwenye peak mwezi wa tisa. Nadhani nimeshakujibu swali lako. Na nikuonye kuwa peak yetu itakuwa kwenye critical condition upande wa vifo.Lini tunaanza kuokota mizoga barabarani?
Itakuwa wamekufa,johnthebaptist,
Wengine wameenda wapi bwashee
kwani ngosha wametumia vipimio vip si machine zenyewe ni mbovuAkiongea baada ya swala ya Eid jijini Dodoma, Waziri Mkuu Mh. Majaliwa amesema idadi ya wagonjwa wa Corona imepungua sana nchini.
Amesema hadi leo asubuhi taarifa alizonazo hospitali nyingi hazina wagonjwa na chache zilizobaki wagonjwa wamepungua sana.
Kwa mfano Amana mgonjwa 1, Mloganzila 1, Agakhan 11, Kibaha 16 na Dodoma kuna wagonjwa 3.
Na wagonjwa wote wana hali nzuri wanasubiri kuruhusiwa kasoro Agakhan wagonjwa 4 bado wako katika uangalizi.
Pamoja na yote Mh. Majaliwa amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari na kuvaa barakoa.
Source: Upendo Tv Habari
dah ni jambo la kushukuruNisaidieni kumshukuru Mungu. Mjomba wangu Deo, alipata Covid akapambana akapona, bahati mbaya sana mke wake aliyekuwa na ujauzito wa wiki 36 alipata maambukizi. Tarehe 1 mwezi huu alizidiwa na mjomba alizunguka naye kwa masaa 12 akikataliwa kupokelewa kwenye hospitali 6 Dsm. Deo ni mfanyabiasha mdogo sana lakini ameishika sana imani yake. Dakika za mwisho aliamua kwenda Agakhan kujaribu tu, maana pale hupokelewa watu maalum.
Kwa muujiza alipokelewa mkewe akiwa na hali mbaya sana. Kesho yake alifanyiwa operation mtoto akatolewa akiwa mzima. Mama alizidiwa na akakaa ICU kwenye ventilator kwa wiki mbili. Hatimae leo ameruhusiwa kutoka hospitali. Deo ni mtu wa kujitoa sana kwa watu. Bill ilikaribia 40m imechangwa na jamaa na marafiki kupitia group la whatsup alililianzisha.
*Utukufu, Heshima, Mamlaka na Adhama zina wewe MUNGU*
Yote Tisa kumi tunaitaji kuona viwanda elfu nne mlipovijenga na mil 50 kila kijiji, mambo mengine ayatuhusu.
Mkuu umewaandama CCM🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Akiongea baada ya swala ya Eid jijini Dodoma, Waziri Mkuu Mh. Majaliwa amesema idadi ya wagonjwa wa Corona imepungua sana nchini.
Amesema hadi leo asubuhi taarifa alizonazo hospitali nyingi hazina wagonjwa na chache zilizobaki wagonjwa wamepungua sana.
Kwa mfano Amana mgonjwa 1, Mloganzila 1, Agakhan 11, Kibaha 16 na Dodoma kuna wagonjwa 3.
Na wagonjwa wote wana hali nzuri wanasubiri kuruhusiwa kasoro Agakhan wagonjwa 4 bado wako katika uangalizi.
Pamoja na yote Mh. Majaliwa amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari na kuvaa barakoa.
Source: Upendo Tv Habari
UK na USA iliwachukua miezi mingapi kufika peak?Kwa ninavyojua curve ya huu ugonjwa sisi Tanzania tutakuwa kwenye peak mwezi wa tisa. Nadhani nimeshakujibu swali lako. Na nikuonye kuwa peak yetu itakuwa kwenye critical condition upande wa vifo.
Hii ni Science na wasioelewa ndiyo watapata shida sana.
MinneUK na USA iliwachukua miezi mingapi kufika peak?
unamiliki wagonjwa?Mgonjwa wangu kapelekwa icu jana kwa Corona. Looh hawa wanasiasa watatuangamiza
Corona iliingia USA mwezi wa ngapi na walipeak mwezi wa ngapi?Minne