Waziri Mkuu Majaliwa: Hakuna tatizo Wamasai kuishi na wanyama Ngorongoro

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
FLjOBY4X0AgmIi5.jpg

Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

“Ngorongoro Mungu aliwapa uwezo wa kukaa na wanyama pamoja hili linavutia na huwezi kuzungumza utalii huu bila ya nyie kuwepo, nikiri mna mchango katika kuongeza pato la taifa kwa uwepo wenu na uhifadhi,” - Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi wa Ngorongoro.

Ameendelea kusema: “Nimekuja hapa kujadili namna ya kutatua changamoto, tunataka watu waishi na watekeleze majukumu yao. Ujio wangu sikuja na malori ya kuja kuwahamisha naomba sana katika kipindi hiki muwe makini, watu wananufaika. Serikali ipo makini na watendaji tupo makini tumeahidi kuwatumikia."

Pia soma
- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza Wabunge wote waelezwe kinachoendelea Ngorongoro
 
Walikuwa wanapima upepo!

Waandishi sasa mmebaki uchi na mkome kutumika.

Hata hivyo, nyie wamasai mkae mguu pande kwani bado wanaweza tu kuwageuka wakati wowote .

Wanasiasa sio watu wa kuwaamini hasa hawa walioshika madaraka kwani kesho anaweza kusema alinukuliwa vibaya au hakueleweka.

Probably wameahirisha tu na sio kufuta kabisa mpango wao. Tukumbuke kuna mpaka ratiba ya kuwaondoa hao wamasai inazunguka mitandaoni.
 
Walikuwa wanapima upepo!

Waandishi sasa mmebaki uchi na mkome kutumika.

Hata hivyo, nyie wamasai mkae mguu pande kwani bado wanaweza tu kuwageuka wakati wowote .

Wanasiasa sio watu wa kuwaamini hasa hawa walioshika madaraka kwani kesho anaweza kusema alinuliwa vibaya au hakueleweka.
Kweli tupu
 
“Ngorongoro Mungu aliwapa uwezo wa kukaa na wanyama pamoja hili linavutia na huwezi kuzungumza utalii huu bila ya nyie kuwepo,nikiri mna mchango katika kuongeza pato la taifa kwa uwepo wenu na uhifadhi,” - Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi wa Ngorongoro.

Ameendelea kusema: “Nimekuja hapa kujadili namna ya kutatua changamoto, tunataka watu waishi na watekeleze majukumu yao. Ujio wangu sikuja na malori ya kuja kuwahamisha naomba sana katika kipindi hiki muwe makini,watu wananufaika. Serikali ipo makini na watendaji tupo makini tumeahidi kuwatumikia."

View attachment 2119204
Waandishi wamegeukwa futi mia moja
 
Wamasai lazima waondoke Ngorongoro.
 
Aliye mbabe na avukee mstarii huuu hapa (maasai | serikali)
 
Wanawachora tuu, kitakachofuata hawataamini majicho
 
Wamasai na Mifugo hawataondolewa wote bali wavamizi
Moja ya makabila yanayosimamia maamuzi ni wamaasai... wakishaanza itana yeroooo yerooo ndiitoo hahaa huwezi jua yupi mvamizi wala yupi mwenyejii na hawatokuwa tayari kutajana
 
Kwani hakuna bahasha zilizogawiwa na mwindaji, au tunaenda kuzitapika.........hakuna namna masai wataondolewa hapo, huyo mwindaji akawekwe hata katikati ya mbuga ya serengeti awinde anavyotaka maana hii danganyika washafanya shamba la bibi...........
 
moja ya makabila yanayosimamia maamuzi ni wamaasai... wakishaanza itana yeroooo yerooo ndiitoo hahaa huwezi jua yupi mvamizi wala yupi mwenyejii na hawatokuwa tayari kutajana
Serikali inajua kila kitu
 
View attachment 2119204
Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

“Ngorongoro Mungu aliwapa uwezo wa kukaa na wanyama pamoja hili linavutia na huwezi kuzungumza utalii huu bila ya nyie kuwepo,nikiri mna mchango katika kuongeza pato la taifa kwa uwepo wenu na uhifadhi,” - Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi wa Ngorongoro.

Ameendelea kusema: “Nimekuja hapa kujadili namna ya kutatua changamoto, tunataka watu waishi na watekeleze majukumu yao. Ujio wangu sikuja na malori ya kuja kuwahamisha naomba sana katika kipindi hiki muwe makini,watu wananufaika. Serikali ipo makini na watendaji tupo makini tumeahidi kuwatumikia."

Pia soma
- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza Wabunge wote waelezwe kinachoendelea Ngorongoro
Yes step by step tutapata majibu sahihi siasa na jazba viwekwe pembeni
 
Back
Top Bottom