Waziri Mkuu Majaliwa: Hakuna tatizo Wamasai kuishi na wanyama Ngorongoro

Waziri Mkuu Majaliwa: Hakuna tatizo Wamasai kuishi na wanyama Ngorongoro

Wamaasai hawajawahi kuwa tatizo. Huo ndio ukweli. Kama ni changamoto, tunaelezana halafu tunatatua. Sio kuvictimize jamii Innocent. Sasa wanaowatuma kina Kitenge na Balile, wanakosea sana approach.
Matatizo ya Ngorongoro yana vyanzo na sababu lukuki.
 
Walikuwa wanapima upepo!

Waandishi sasa mmebaki uchi na mkome kutumika.

Hata hivyo, nyie wamasai mkae mguu pande kwani bado wanaweza tu kuwageuka wakati wowote .

Wanasiasa sio watu wa kuwaamini hasa hawa walioshika madaraka kwani kesho anaweza kusema alinukuliwa vibaya au hakueleweka.

Probably wameahirisha tu na sio kufuta kabisa mpango wao.Tukumbuke kuna mpaka ratiba ya kuwaondoa hao wamasai inazunguka mitandaoni.
Utashangaa wale wabunge wote nao wanageuka na kuunga mkono hii kauli
 
Sio waandishi tu bungeni wabunge zaidi ya 300 wameunga mkono wamasai kuondolewa ngorongoro. Sasa hivi wataunga mkono tena wasiondolewe
Wameunga mkono waondolewe akili zimo vuchwani? Waziri mkuu yuko sahihi hao wabunge waliounga mkono kama ni kweli vichwa vyao vyeupe vichwani hamna kitu
 
Wamasai lazima waondoke Ngorongoro.
Endelea kujifariji. Hata kama ni kuondoka lakn sio kwa matakwa ya waandishi uchwara. Itakuwa ni kwa makubaliano yenye mwanga mbele. Itakuwa sio kwa kudhalilishana.
Njaa zako na hasira zako zibaki nyumbani kwenu. Kama ni muajiriwa wa NCAA, jiandae ukalime siku Wamaasai wakiondolewa Ngorongoro.
 
Tanzania hakuna waandishi bali wachumia tumbo!
Kabisa hamna ule mswada wa kutaka waandishi wawe na digrii na bodi sijui umeishia wapi Kiukweli Tanzania waandishi wa habari hatuna kabisaa sio siri

Sana sana tuna reporters ambao kazi yao ku ripoti tu kama kasuku ukisema baba kesho magazeti yanaripoti mheshimiwa Yehodaya jana alisema baba
 
Sio waandishi tu bungeni wabunge zaidi ya 300 wameunga mkono wamasai kuondolewa ngorongoro. Sasa hivi wataunga mkono tena wasiondolewe
Hiki Chama Cha Mazezeta wewe unakipa dhamana???
 
View attachment 2119204
Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

“Ngorongoro Mungu aliwapa uwezo wa kukaa na wanyama pamoja hili linavutia na huwezi kuzungumza utalii huu bila ya nyie kuwepo,nikiri mna mchango katika kuongeza pato la taifa kwa uwepo wenu na uhifadhi,” - Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi wa Ngorongoro.

Ameendelea kusema: “Nimekuja hapa kujadili namna ya kutatua changamoto, tunataka watu waishi na watekeleze majukumu yao. Ujio wangu sikuja na malori ya kuja kuwahamisha naomba sana katika kipindi hiki muwe makini,watu wananufaika. Serikali ipo makini na watendaji tupo makini tumeahidi kuwatumikia."

Pia soma
- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza Wabunge wote waelezwe kinachoendelea Ngorongoro
Mkataba wa Geneva uko wazi kuwa 'kunapotokea mgogoro kati ya uwepo wa wanyama na wanadamu sehemu moja,wanadamu wapewe kipaumbele'

Baadhi yetu kwa roho zetu nyeusi tunathamini wanyama kuliko wanadamu wenzetu,huu ni ujinga uliopitiliza.
 
Huyu jamaa hachuji mambo hii kauli itamuwinda muda sio mrefu
 
Walikuwa wanapima upepo!

Waandishi sasa mmebaki uchi na mkome kutumika.

Hata hivyo, nyie wamasai mkae mguu pande kwani bado wanaweza tu kuwageuka wakati wowote .

Wanasiasa sio watu wa kuwaamini hasa hawa walioshika madaraka kwani kesho anaweza kusema alinukuliwa vibaya au hakueleweka.

Probably wameahirisha tu na sio kufuta kabisa mpango wao. Tukumbuke kuna mpaka ratiba ya kuwaondoa hao wamasai inazunguka mitandaoni.
Kabisa, maana SSH akiwa Naibu Rais alipigilia nyundo 27000/= kama gharama ya kuunganisha umeme. Baada yakukalia kiti, akasema "TULIDANGANYWA MAHALA[emoji38][emoji1787][emoji1784][emoji1784][emoji1784]"
 
Back
Top Bottom