Waziri Mkuu Majaliwa: Hakuna tatizo Wamasai kuishi na wanyama Ngorongoro

Wamaasai hawajawahi kuwa tatizo. Huo ndio ukweli. Kama ni changamoto, tunaelezana halafu tunatatua. Sio kuvictimize jamii Innocent. Sasa wanaowatuma kina Kitenge na Balile, wanakosea sana approach.
Matatizo ya Ngorongoro yana vyanzo na sababu lukuki.
 
Utashangaa wale wabunge wote nao wanageuka na kuunga mkono hii kauli
 
Sio waandishi tu bungeni wabunge zaidi ya 300 wameunga mkono wamasai kuondolewa ngorongoro. Sasa hivi wataunga mkono tena wasiondolewe
Wameunga mkono waondolewe akili zimo vuchwani? Waziri mkuu yuko sahihi hao wabunge waliounga mkono kama ni kweli vichwa vyao vyeupe vichwani hamna kitu
 
Wamasai lazima waondoke Ngorongoro.
Endelea kujifariji. Hata kama ni kuondoka lakn sio kwa matakwa ya waandishi uchwara. Itakuwa ni kwa makubaliano yenye mwanga mbele. Itakuwa sio kwa kudhalilishana.
Njaa zako na hasira zako zibaki nyumbani kwenu. Kama ni muajiriwa wa NCAA, jiandae ukalime siku Wamaasai wakiondolewa Ngorongoro.
 
Tanzania hakuna waandishi bali wachumia tumbo!
Kabisa hamna ule mswada wa kutaka waandishi wawe na digrii na bodi sijui umeishia wapi Kiukweli Tanzania waandishi wa habari hatuna kabisaa sio siri

Sana sana tuna reporters ambao kazi yao ku ripoti tu kama kasuku ukisema baba kesho magazeti yanaripoti mheshimiwa Yehodaya jana alisema baba
 
Sio waandishi tu bungeni wabunge zaidi ya 300 wameunga mkono wamasai kuondolewa ngorongoro. Sasa hivi wataunga mkono tena wasiondolewe
Hiki Chama Cha Mazezeta wewe unakipa dhamana???
 
Mkataba wa Geneva uko wazi kuwa 'kunapotokea mgogoro kati ya uwepo wa wanyama na wanadamu sehemu moja,wanadamu wapewe kipaumbele'

Baadhi yetu kwa roho zetu nyeusi tunathamini wanyama kuliko wanadamu wenzetu,huu ni ujinga uliopitiliza.
 
Huyu jamaa hachuji mambo hii kauli itamuwinda muda sio mrefu
 
Kabisa, maana SSH akiwa Naibu Rais alipigilia nyundo 27000/= kama gharama ya kuunganisha umeme. Baada yakukalia kiti, akasema "TULIDANGANYWA MAHALA[emoji38][emoji1787][emoji1784][emoji1784][emoji1784]"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…