Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,668
- 3,751
[emoji3][emoji3][emoji3]Huyo bwana maneno yake huwa hayaeleweki. Aliwahi kusema "Jamaa yuko ikulu anapiga kazi kumbe...."
Huwa simtilii maanani
Tangu awadanganye watanzania kwamba mwendazake anapitia mafaili kumbe alisha rest in peace,sio wa kuaminika tenaWalikuwa wanapima upepo!
Waandishi sasa mmebaki uchi na mkome kutumika.
Hata hivyo, nyie wamasai mkae mguu pande kwani bado wanaweza tu kuwageuka wakati wowote .
Wanasiasa sio watu wa kuwaamini hasa hawa walioshika madaraka kwani kesho anaweza kusema alinukuliwa vibaya au hakueleweka.
Probably wameahirisha tu na sio kufuta kabisa mpango wao. Tukumbuke kuna mpaka ratiba ya kuwaondoa hao wamasai inazunguka mitandaoni.
Huyu haaminiki,wamasai wakae mguu sawa tuHuyu si alisemaga mwendazake Magu, ni mzima, yupo ofisini anachapa kazi, kumbe fix??
Basi wamaasai Mie yangu ni hayo Tu!
Kibajaji mgogo hawezi jilinganisha na masai ,masai anaishi na wanyama wakali kama simba,chui,chatu nk bila woga mgogo akiona mjusi anaogopa anahama nyumba Dodoma kwenda kuwa omba omba Dar es salaam barabarani sembuse kupeleka familia ya mgogo kwenda kuishi ngorongoroNimemsikia mbunge mmoja hivi sijui bajaji yule anajiita alisema eti huwezi kuwaacha wanyama na binadamu pamoja. Akasema eti wabunge wanaotetea wakiambiwa wakaishi na familia zao Ngorongoro hawatakubali
Majaliwa ameshawavurugaaaaaa
Moja ya makabila yanayosimamia maamuzi ni wamaasai... wakishaanza itana yeroooo yerooo ndiitoo hahaa huwezi jua yupi mvamizi wala yupi mwenyejii na hawatokuwa tayari kutajana
Gia imebadilishwa angani kondomu balile na wenzake wamechutama uchi!!😂😂😂wapi kaniki kitenge!!“Ngorongoro Mungu aliwapa uwezo wa kukaa na wanyama pamoja hili linavutia na huwezi kuzungumza utalii huu bila ya nyie kuwepo, nikiri mna mchango katika kuongeza pato la taifa kwa uwepo wenu na uhifadhi,” - Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi wa Ngorongoro.
Ameendelea kusema: “Nimekuja hapa kujadili namna ya kutatua changamoto, tunataka watu waishi na watekeleze majukumu yao. Ujio wangu sikuja na malori ya kuja kuwahamisha naomba sana katika kipindi hiki muwe makini, watu wananufaika. Serikali ipo makini na watendaji tupo makini tumeahidi kuwatumikia."
Pia soma
- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza Wabunge wote waelezwe kinachoendelea Ngorongoro

Kwani hizo numbers zimeanza leo?Sidhani kama Kauli yake hii imebadilisha lolote...
Hakuna Tatizo wamasai kuishi wala haijawahi kuwa tatizo kuishi na wanyama Ngorongoro...
Ila Tatizo ni numbers (Wamasai wangapi ?) kumi elfu, elfu 50, laki kadhaa au mamilioni ?; Kwahio huenda hii ikawa calmness before the storm
Hakuna kuondoa mtu au wanyama kwa nguvu acha waishi pamoja kama wanaweza, hao unaowaita wavamizi ni watanzania pia, acha simba na chui wawakimbize sio wanasiasa, na ni marufuku kuua mnyamaWamasai na Mifugo hawataondolewa wote bali wavamizi
Sasa nalinganisha andiko hili na habari ya mambo yaliyotokea Ngorongoro na viongozi kukanusha kwa kupishana kauli.Walikuwa wanapima upepo!
Waandishi sasa mmebaki uchi na mkome kutumika.
Hata hivyo, nyie wamasai mkae mguu pande kwani bado wanaweza tu kuwageuka wakati wowote .
Wanasiasa sio watu wa kuwaamini hasa hawa walioshika madaraka kwani kesho anaweza kusema alinukuliwa vibaya au hakueleweka.
Probably wameahirisha tu na sio kufuta kabisa mpango wao. Tukumbuke kuna mpaka ratiba ya kuwaondoa hao wamasai inazunguka mitandaoni.
Mwehu peke yake ndiye anaweza kuyaamini maneno ya kassim“Ngorongoro Mungu aliwapa uwezo wa kukaa na wanyama pamoja hili linavutia na huwezi kuzungumza utalii huu bila ya nyie kuwepo, nikiri mna mchango katika kuongeza pato la taifa kwa uwepo wenu na uhifadhi,” - Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi wa Ngorongoro.