Kwani wewe unaulizia SGR ya nini?
Kwani wewe unataka kula Sgr?
Wewe unataka hela mfukoni siyo SGR sasa unaulizia ya nini?
Kila siku unalia lia tu kuibiwa kura! Andamana mkuu au nenda na bomu kajilipua pale kwenye ofisi za ccm lumumba kuonesha uchungu wako!Mlipora uchaguzi mkasahau kuwa mna uwezo mdogo, sasa mnaumbuka. Hakikisheni vyombo vya dola vinaendelea kuwabeba maana hamna jipya.
Hit them up mkuu!!!Mkuu wacha uongo, wewe si ulisema itachukua miaka 40 kukamilika? Njoo November 2020 uone majaribio Moro - Pugu. Dar bakini na ujanja wenu. JPM alimudu zote hizo sasa wameingia watoto wa watumwa kufuja pesa zilizokusanywa na wenye uchungu wa nchi hii.
Kila siku unalia lia tu kuibiwa kura! Andamana mkuu au nenda na bomu kajilipua pale kwenye ofisi za ccm lumumba kuonesha uchungu wako!
Wewe unaulizia SGR ya nini wakati ulikuwa unasema hayo ni maendeleo ya vitu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti kuumbuka!Kwani waziri Mkuu aliposema SGR itaanza kazi mwezi huu wa 8 alikuwa hajui sitaki maendeleo ya vitu? Majizi ya kura lazima muumbuke safari hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti kuumbuka!
Waziri mkuu akikuwa anawaambia wanaohitaji SGR! wewe huhitaji maana hayo ni maendeleo ya vitu na si watu,
Mkuu huu uchungu wako wa kuibiwa kura naomba vaa bomu kajilipue pale lumumba ili kufikisha ujumbe wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mkuu!Mabomu zaidi ya haya ninayorusha hapa jukwaani? Yaani hapa nilipo napata raha nikiona sukuma Gang mnatapika ugoro tu.
🤣🤣🤣🤣Muulize Jumbe Brown siempre siempre
Uongo gani ?Huyu toka aongee uongo masjid cna imani nae tena
PM wa ovyo kabisa katika historia ya Tz..Kama uzi huu Safari za Treni ya Mwendokasi kuanza Agosti mwaka huu, 2021 unavyojionyesha, Waziri Mkuu alisema mwezi huu wa nane SGR kipande cha Dar-Moro kitaanza kazi. Je ni tarehe ngapi treni hiyo itaanza kazi? Badala ya serikali kujifichia kwenye kesi za kubambikiziana, watuonyeshe wanavyotekeleza ahadi za maendeleo.
Tunajua waziri Mkuu huna tabia ya kusema ukweli, mfano ulisema ww na IGP utatoa ripoti ya mtu aliyejiunganishia bomba la mafuta hapa mjini, lakini mpaka leo uko kimya! Ajali ya moto wa soko la kariakoo nayo ukaahidi utatoa ripoti ndani ya siku 7, tena baada ya kuunda kamati. Lakini inaonekana hela zimeliwa na hiyo kamati yako, na uko kimya! Ulifanya hivyo hivyo kwenye ajali ya moto wa lorry la mafuta huko Morogoro. Sasa tuambie SGR inaanza kazi tarehe ngapi mwezi huu?
Ni kususia tu ndio dawa yao..Hakuna hela Mkuu na hii susia susia ya huduma mbali mbali nchini na kutoomba risiti ukinunua kitu ili kuathiri mapato ya Serikali ikipamba moto basi hii Serikali haramu itakuwa na wakati mgumu sana kulipa hata mishahara.
Atakavyoniambia ni lini, si alishasema mwezi huu wa nane? Mimi nimeweka na ushahidi wa uongo wake, ww ulitakiwa uonyeshe kama anasema ukweli.Wewe unataka nini!? Ushasema PM ni muongo je atakavyokuambia ni lini si bado utasema ni muongo... Ebu malizaneni kwanza gaidi mbowe ndo mengine muyafanye mspende kuongea wakati wa kula.
Reli ya Tazara ilijengwa na wachina kuanzia mbeba kokoto nk. Mradi wa SGR unazingatia kuwapa Watanzania nafasi kwenye ajira. Angalia wageni kutoka Yapi wako asilimia ngapi? Huwezi kulinganisha na TAZARA. Vile vile zingatia viwanda ambavyo vinajengwa kwa mfano kiwanda cha kutengeneza mataruma ambacho kina Watanzania wengi na uzalishaji huo utakuwa wa muda mrefu . ... .... creating opportunities for Tanzanians...Mwalimu Nyerere alijenga reli ya Tazara na ilimalizika ndani ya miaka mitano, toka Dar Es Salaam mpaka Kapirimposhi-Zambia.
..kwanini Magufuli na Samia wameshindwa kumaliza kipande cha Dar mpaka Morogoro kwa wakati, tunaelekea mwaka wa tano sasa?
..Na kama Dar mpaka Morogoro inachukua muda mrefu namna hii, reli itafika lini Mwanza na Kigoma?
..Ucheleweshaji huu unatokana na nini? Tatizo liko kwa mkandarasi, au serikali?
Reli ya Tazara ilijengwa na wachina kuanzia mbeba kokoto nk. Mradi wa SGR unazingatia kuwapa Watanzania nafasi kwenye ajira. Angalia wageni kutoka Yapi wako asilimia ngapi? Huwezi kulinganisha na TAZARA. Vile vile zingatia viwanda ambavyo vinajengwa kwa mfano kiwanda cha kutengeneza mataruma ambacho kina Watanzania wengi na uzalishaji huo utakuwa wa muda mrefu . ... .... creating opportunities for Tanzanians.
Sababu nyingine ya kuchelewa ni swala zima la Covid-19. JPM tutakukumbuka sana tu kwa kuona mbali na kutimiza yale ambayo taifa liliamua kufanya. Mwenyezi Mungu amemchukua mapema lakini ameonyesha njia how a country should be governed. Wezi kama JMK na genge lake la wahuni ambao wanafikiria matumbo yao tu siku zao zaja za kulia na kusaga meno. Kumbuka Mwenyezi Mungu hadhihakiwi kwa viumbe wake.
BTW vipande vya Mwanza, Tabora etc vimeanza na huko vitakwenda haraka zaidi kwa sababu mataruma na uzoefu upo mwingi miongoni mwa vijana wa kitanzania.
Mkuu sisemi uongo..Daaah, kweli hapa kazi ipo.