A
Anonymous
Guest
Nimetazama list hii nimebaini majina kadhaa ya watu wenye hadi zao Mjini ambao nao wamenyang’anywa mashamba ya Kilimo cha Korosho baada ya kutoyaendeleza, kwanza kabisa namba mmoja ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa.
Namba 15, Murtaza Ally ni Mangungu, huyu ni Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
Namba 4, Hassan Mohamed Jarufu, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi.
Itazame listi vizuri kiasha utaangalia umembaini nani mwingine mzito? Na Swali ninalojiuliza jina la Majaliwa limewekwa hapo kuzuga Wananchi au jamaa tayari ameanza kutolewa kwenye mstari mdogomdogo?
===============
Kwa tangazo hili, Wananchi wote ambao majina yao yanaonekana hapa chini wamepoteza sifa ya kuwa wawekezaji wa mashamba hayo ya korosho kwa mujibu wa mkataba.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI
TAARIFA KWA UMMA
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi anawatangazia wananchi wote waliopatiwa mashamba kwa ajili ya kilimo cha korosho katika mitaa ya Nandambi, Mkanga, Tandangongoro, Chikonji, Ruaha, Mnali, Sinde, Masasi ya Leo, Mto mkavu, Nanyanje, Likabuku na Jangwani katika kipindi cha mwaka 2017 hadi 2022 kuwa mashamba hayo walipewa kwa masharti ya kuhakikisha kuwa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja wanayaendeleza kwa kupanda mikorosho.OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA