Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumtoa hadharani Majaliwa Majaliwa ni kukosa nidhamu!Nimetazama list hii nimebaini majina kadhaa ya watu wenye hadi zao Mjini ambao nao wamenyang’anywa mashamba ya Kilimo cha Korosho baada ya kutoyaendeleza, kwanza kabisa namba mmoja ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa.
Hii sain ya TD mbona yakibabe sanaNaona wamekanusha hii kupitia barua rasmi ya DED wa Lindi MCView attachment 2828468View attachment 2828468
Mwenyewe nilistaajabu hvyohvyo.. ni Saini ya kibabe sana kudadadeqHii sain ya TD mbona yakibabe sana
Yani hata saini ya Donald Trump haioni ndani hapo.Hii sain ya TD mbona yakibabe sana
Naona wamekanusha hii kupitia barua rasmi ya DED wa Lindi MCView attachment 2828468View attachment 2828468
Hii sain ya TD mbona yakibabe sana
Yaah ni kweli kabisa,, waona hapa boss atachafuka Ila ndo kashachafuka,, Mimi kapuki wa Huku Nanjilinji sikuwa najua kuwa Mzee anamiliki shamba kubwa kama hilo Ila sasa nimejua[emoji28][emoji28] wanamlinda boss,hii nchi imejaa upuuzi mwingi sana.
😂😂😂😂Naona wamekanusha hii kupitia barua rasmi ya DED wa Lindi MCView attachment 2828468View attachment 2828468
Mkuu huu sio utaratibu wa ccm tuliyoizoeaKwani shamba kaliendeleza?
Sijauliza kama ni utaratibu wa CCM au si utaratibu wa CCM.Mkuu huu sio utaratibu wa ccm tuliyoizoea
Huyo DED ni fala tu,, lengo la hyo Saini ni kutaka kutofautisha na Ile Saini ya mwanzo yenye majina ya viongozi watuhumiwa.. Sasa imekuwa ni ya Hovyo sana😂😂😂😂
Saini ya Makasiriko 😂🔥🐼
Atafanya kazi gani? yupo yupoMajaliwa itabidi ajiongeze aachane na hawa watu. Mara kupewa amri na Bashite, sasa hivi tena kutajwa kwenye mashamba. Hapo usikute Chief Hengaya ndio anapanga yote hayo. Yamkini ameoneka threat kwenye utawala huu usio na dira wenye kupenda kick🤔