Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchongo huu 😂😂😂Nimetazama list hii nimebaini majina kadhaa ya watu wenye hadi zao Mjini ambao nao wamenyang’anywa mashamba ya Kilimo cha Korosho baada ya kutoyaendeleza, kwanza kabisa namba mmoja ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa.
Namba 15, Murtaza Ally ni Mangungu, huyu ni Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
Namba 4, Hassan Mohamed Jarufu, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi.
Itazame listi vizuri kiasha utaangalia umembaini nani mwingine mzito? Na Swali ninalojiuliza jina la Majaliwa limewekwa hapo kuzuga Wananchi au jamaa tayari ameanza kutolewa kwenye mstari mdogomdogo?
===============
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAMkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi anawatangazia wananchi wote waliopatiwa mashamba kwa ajili ya kilimo cha korosho katika mitaa ya Nandambi, Mkanga, Tandangongoro, Chikonji, Ruaha, Mnali, Sinde, Masasi ya Leo, Mto mkavu, Nanyanje, Likabuku na Jangwani katika kipindi cha mwaka 2017 hadi 2022 kuwa mashamba hayo walipewa kwa masharti ya kuhakikisha kuwa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja wanayaendeleza kwa kupanda mikorosho.
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI
TAARIFA KWA UMMA
Kwa tangazo hili, Wananchi wote ambao majina yao yanaonekana hapa chini wamepoteza sifa ya kuwa wawekezaji wa mashamba hayo ya korosho kwa mujibu wa mkataba.
Hahaha jamaa kachanganyikiwa hahabab hadi kachorongaJamaa alikosa saini akaamua kuwa anachoronga tu
Kwani hiyo ni kashfa Hadi tujadili hiyo ni notisi ambayo Bado wanaweza kukaa mezani na kuja mkakati mpya au development bond.Vitu vya kawaida mnavifanya kuwa vikuubwa.Nimetazama list hii nimebaini majina kadhaa ya watu wenye hadi zao Mjini ambao nao wamenyang’anywa mashamba ya Kilimo cha Korosho baada ya kutoyaendeleza, kwanza kabisa namba mmoja ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa.
Namba 15, Murtaza Ally ni Mangungu, huyu ni Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
Namba 4, Hassan Mohamed Jarufu, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi.
Itazame listi vizuri kiasha utaangalia umembaini nani mwingine mzito? Na Swali ninalojiuliza jina la Majaliwa limewekwa hapo kuzuga Wananchi au jamaa tayari ameanza kutolewa kwenye mstari mdogomdogo?
===============
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAMkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi anawatangazia wananchi wote waliopatiwa mashamba kwa ajili ya kilimo cha korosho katika mitaa ya Nandambi, Mkanga, Tandangongoro, Chikonji, Ruaha, Mnali, Sinde, Masasi ya Leo, Mto mkavu, Nanyanje, Likabuku na Jangwani katika kipindi cha mwaka 2017 hadi 2022 kuwa mashamba hayo walipewa kwa masharti ya kuhakikisha kuwa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja wanayaendeleza kwa kupanda mikorosho.
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI
TAARIFA KWA UMMA
Kwa tangazo hili, Wananchi wote ambao majina yao yanaonekana hapa chini wamepoteza sifa ya kuwa wawekezaji wa mashamba hayo ya korosho kwa mujibu wa mkataba.
Ndio jina liwe la kwanza kwenye list?Kama hajaliendeleza kwa muda aliotakiwa kuna tatizo gani akinyang'anywa??
Danganya toto. Hapo kulikua na walengwa sasa lazima ionekane na wenye nchi pia wamo. Hii nchi tunaijua kuliko mnavofikiria.Nimetazama list hii nimebaini majina kadhaa ya watu wenye hadi zao Mjini ambao nao wamenyang’anywa mashamba ya Kilimo cha Korosho baada ya kutoyaendeleza, kwanza kabisa namba mmoja ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa.
Namba 15, Murtaza Ally ni Mangungu, huyu ni Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
Namba 4, Hassan Mohamed Jarufu, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi.
Itazame listi vizuri kiasha utaangalia umembaini nani mwingine mzito? Na Swali ninalojiuliza jina la Majaliwa limewekwa hapo kuzuga Wananchi au jamaa tayari ameanza kutolewa kwenye mstari mdogomdogo?
===============
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAMkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi anawatangazia wananchi wote waliopatiwa mashamba kwa ajili ya kilimo cha korosho katika mitaa ya Nandambi, Mkanga, Tandangongoro, Chikonji, Ruaha, Mnali, Sinde, Masasi ya Leo, Mto mkavu, Nanyanje, Likabuku na Jangwani katika kipindi cha mwaka 2017 hadi 2022 kuwa mashamba hayo walipewa kwa masharti ya kuhakikisha kuwa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja wanayaendeleza kwa kupanda mikorosho.
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI
TAARIFA KWA UMMA
Kwa tangazo hili, Wananchi wote ambao majina yao yanaonekana hapa chini wamepoteza sifa ya kuwa wawekezaji wa mashamba hayo ya korosho kwa mujibu wa mkataba.
Kama KiarabYani hata saini ya Donald Trump haioni ndani hapo.