DOKEZO Waziri Mkuu Majaliwa kunyang'anywa Shamba la Ekari 100. Ni mkakati wa kumtoa relini?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nimetazama list hii nimebaini majina kadhaa ya watu wenye hadi zao Mjini ambao nao wamenyang’anywa mashamba ya Kilimo cha Korosho baada ya kutoyaendeleza, kwanza kabisa namba mmoja ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa.
Kumtoa hadharani Majaliwa Majaliwa ni kukosa nidhamu!
 
Majaliwa itabidi ajiongeze aachane na hawa watu. Mara kupewa amri na Bashite, sasa hivi tena kutajwa kwenye mashamba. Hapo usikute Chief Hengaya ndio anapanga yote hayo. Yamkini ameoneka threat kwenye utawala huu usio na dira wenye kupenda kickπŸ€”
 
Atafanya kazi gani? yupo yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…