DOKEZO Waziri Mkuu Majaliwa kunyang'anywa Shamba la Ekari 100. Ni mkakati wa kumtoa relini?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mchongo huu 😂😂😂
 
Kwani hiyo ni kashfa Hadi tujadili hiyo ni notisi ambayo Bado wanaweza kukaa mezani na kuja mkakati mpya au development bond.Vitu vya kawaida mnavifanya kuwa vikuubwa.
 
Kwanini jina la PM liwe la kwanza?

Pili, ni kwanini tangazo limetolewa/limeandikwa na Kaimu Mkurugenzi badala ya Mkurugenzi mwenyewe?
 
Huu ni uchawi, eka 100! Kwa, nchi yetu ni ardhi ndogo Sana, kwanini umnyangsnye MTU mwenye mtaji na uwezo wa kuwekeza kwenye kilimo kama waziri mkuu? Hapa ni siasa tu, wanaposema eti mashamba hayajaendelezwa, ardhi kubwa nchi hii haijaendelezwa ndiocmaana hata sukari na mafuta ya kula lazima tuagize nje ili kukidhi mahitaji, kama wana nia ya kuendeleza, ardhi, yqpo mapori mengi tena yenye rutuba, unayoweza kuendeleza.
 
Danganya toto. Hapo kulikua na walengwa sasa lazima ionekane na wenye nchi pia wamo. Hii nchi tunaijua kuliko mnavofikiria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…