guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
hao watumishi wacha waisome namba,waliiba kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya UDSM mkuu.sema ina viraka vingi😂😂😂😂😂Wanasiasa wanawaona watumishi ni bogus tu..
Kura zenu laki 5, hata msipotupigia tutashinda.
Leo wanawaonea huruma kupandishiwa bei. Kweli sukari ianze tu kuwa tshs 4,000 kwa sababu ya mtumishi ameongezewa tshs 8,000?
Hawa viongozi wetu wanaelimu ya wapi?
Wala haina shida mkuu, ni swala la muda tu, ukifika utaelewa tu na mada italeta ijadiliwe.Ahaaa, kwamba mimi nilitetea watumishi kutokuongezwa mishahara tena kwa sababu zisizo na mashiko kama hizi? Pitia record zako.