Waziri Mkuu Majaliwa, kweli tangu awamu ya tano iingie madarakani gharama za maisha hazijapanda? Kuwa na huruma kwa Watumishi wa Umma

Waziri Mkuu Majaliwa, kweli tangu awamu ya tano iingie madarakani gharama za maisha hazijapanda? Kuwa na huruma kwa Watumishi wa Umma

Wanasiasa wanawaona watumishi ni bogus tu..

Kura zenu laki 5, hata msipotupigia tutashinda.

Leo wanawaonea huruma kupandishiwa bei. Kweli sukari ianze tu kuwa tshs 4,000 kwa sababu ya mtumishi ameongezewa tshs 8,000?

Hawa viongozi wetu wanaelimu ya wapi?
Ya UDSM mkuu.sema ina viraka vingi😂😂😂😂😂
 
Ahaaa, kwamba mimi nilitetea watumishi kutokuongezwa mishahara tena kwa sababu zisizo na mashiko kama hizi? Pitia record zako.
Wala haina shida mkuu, ni swala la muda tu, ukifika utaelewa tu na mada italeta ijadiliwe.
 
Awamu hii inaboa, mtu unajikuta una miaka 9 kazini hujawahi kupanda daraja....ovyoooo
 
Back
Top Bottom