Hatuna namna kwasasa maana ndiyo brand au equipment zilizopo kwenye fleet ya ATCL. Kwasasa tuendeleze hizohizo ila tusitafute zingine tofauti tena.Ni Airbus A220-300 mbili na Dash Q-400 De-Havilland moja.
Kwa nini tunanunua ndege kampuni tofauti tofauti ? Boeing, Bombardier, Airbus, De- Havilland.
Hapo tunaingia gharama sana mikataba tofauti, maintenance, mafunzo etc.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sina neno ila nakumbuka maneno ya profesa As sad asilimia 60 ya Viongozi wa selikali utamalizia mwenyewe
Huyo Waziri Mkuu ni bomu tuu, si ndio aliyekuwa anatupa uongo!! Hakuna economic justification ya kuongeza ndege isipokuua ufisadi wakati shirika halina ROUTES!! Ndege zitabidi ziote jua tu kwavile haziwezi kuruka kwenda LONDON wala PRETORIA kwani huko shirika lina daiwa hivyo ndege zinaweza kukamatwa!! Ndege hizo zitaruka humu humu nchini na Comoro tu huko kwa majirani zetu wana ndege zao! IT IS PATHETIC.Hatuna namna kwasasa maana ndiyo brand au equipment zilizopo kwenye fleet ya ATCL. Kwasasa tuendeleze hizohizo ila tusitafute zingine tofauti tena.
So far tuna marubani na huenda tumetrain wahandisi wa aina hizo za Ndege.
Mm nimeona at least hizo equipment ziko tailored kwa mazingira yetu kidogo, kuliko zingeongezwa Dreamliner tena zine kubanikwa juani..
Mapesa mengine yanaenda kutumika kununua hasara endelevu.Akizungumzia maendeleo ya Miradi Mbalimbali inayoendelea kutekelezwa na wakati Bajeti ya ofisi yake Ikipitishwa. Waziri Mkuu Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania amesema Ndege Zingine Tatu ziko mbioni kuja Nchi wakati wowote kutekeleza ahadi ya Serikari katika uboreshaji wa Usafiri wa Anga Nchi.
Una neno gani Mdau juu ya Uamuzi huu mzuri unaoonesha ustawi chanya wa Nchi yetu.
Mbarikiwe sana.
De Havilland ndio BombardierNi Airbus A220-300 mbili na Dash Q-400 De-Havilland moja.
Kwa nini tunanunua ndege kampuni tofauti tofauti ? Boeing, Bombardier, Airbus, De- Havilland.
Hapo tunaingia gharama sana mikataba tofauti, maintenance, mafunzo etc.
Umeenda mbali Sana, kwani hata madini au mbuga za wanyama ww umenufaika navyo vpWatz mil 60 waliowahi panda au nufaika na hizo ndege ni wangap??
Ndege zote ni kampuni moja zimeunganishwa kampuni 2 naNi Airbus A220-300 mbili na Dash Q-400 De-Havilland moja.
Kwa nini tunanunua ndege kampuni tofauti tofauti ? Boeing, Bombardier, Airbus, De- Havilland.
Hapo tunaingia gharama sana mikataba tofauti, maintenance, mafunzo etc.
Ungejibu swali ingekuwa vizuri mkuuUmeenda mbali Sana, kwani hata madini au mbuga za wanyama ww umenufaika navyo vp
Retired CAG alishajibu hilo kuwa asilimia 60 ya viongozi wa serikali hawana uwezo.Ni Airbus A220-300 mbili na Dash Q-400 De-Havilland moja.
Kwa nini tunanunua ndege kampuni tofauti tofauti ? Boeing, Bombardier, Airbus, De- Havilland.
Hapo tunaingia gharama sana mikataba tofauti, maintenance, mafunzo etc.
Tutawanyosha tuuu, hadi mtueleze hayo masindano ya chanjo za kugandisha damu nani kawatapeli mchomwe hapo ufipanii.Mnamsinamisha mwendazake hiyo 2025?!
Airbus, Boeing, Bombardier na zote ni kampuni moja?Ndege zote ni kampuni moja zimeunganishwa kampuni 2 na
Nimesoma Jana...dehavilland Ni bombardierNi Airbus A220-300 mbili na Dash Q-400 De-Havilland moja.
Kwa nini tunanunua ndege kampuni tofauti tofauti ? Boeing, Bombardier, Airbus, De- Havilland.
Hapo tunaingia gharama sana mikataba tofauti, maintenance, mafunzo etc.
Hiyo siyo kweli kwani hospitali zetu zimeboreshwa sana na nyingi xins vifaa vya kisasa sana kwa vile hakuna hospitali za vijijini ambavyo havuine umeme leo. Majuzi kuna ndugu yangu amefanyiwa upasuaji huko huko kijijini na amepona. Miiezi michache iliyopita viongozi wetu walifariki wakiwa wanatibiwa hkwenye hospitali zetu tofauti na zamani walikuwa wanafariki wakiwa wanatibiwa hospitali za nje!Serikali inapenda ndege kuliko kuboresha hospitali kwa ajili ya matibabu ya wanyonge.
Sawa.Nimesoma Jana...dehavilland Ni bombardier