PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,199
- 8,761
Hatuna namna kwasasa maana ndiyo brand au equipment zilizopo kwenye fleet ya ATCL. Kwasasa tuendeleze hizohizo ila tusitafute zingine tofauti tena.Ni Airbus A220-300 mbili na Dash Q-400 De-Havilland moja.
Kwa nini tunanunua ndege kampuni tofauti tofauti ? Boeing, Bombardier, Airbus, De- Havilland.
Hapo tunaingia gharama sana mikataba tofauti, maintenance, mafunzo etc.
So far tuna marubani na huenda tumetrain wahandisi wa aina hizo za Ndege.
Mm nimeona at least hizo equipment ziko tailored kwa mazingira yetu kidogo, kuliko zingeongezwa Dreamliner tena zine kubanikwa juani..