Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali inatafuta njia mbadala za kupunguza gharama za maisha
Hizi hatua za kudhibiti bei ya mafuta kwa nini zisifanyike hapo awali
Kw a nini iwe baada ya wananchi kulalama kama wamekula pilipili?

SERIKALI YACHUKUA HATUA KUSHUSHA BEI MAFUTA SERIKALI YACHUKUA HATUA KUSHUSHA BEI MAFUTA - Jamvi La Habari
pandisha kwa kiwango kikubwa kisha unashusha kidogo, harafu tunapongeza kwa nguvu watazoea tu! Mfano ikiwa 2000 unapandisha mpaka 3400 wakipiga kelele tunashusha hadi 2800 kisha malengo yakupandisha yanakuwa yametimia toka 2000 hadi 2800,nahivi ndotunavyofanywa watanzania.
 
Wasambazaji wakubwa wa mafuta ni hao hao wanaotaka kushusha
 
Kwa hiyo kutekeleza ushauri wenye tija ni kosa?
Nchi hii ukiamua kuua wajinga utakuta umeua mpaka ndugu zako.
Ukimuuliza ni hatua gani za ujanja ujanja umeona zimechukuliwa hatakuwa na jibu.
 
Rais anafanya upendeleo wa wazi kabisa.

Huko Zanzibar wanaishi maisha mazuri sana.

Sisi hapa Tanganyika tunakamuliwa haswa na wala hata hajali.

Haya ndio madhara ya kuwa na kiongozi Mzanzibari akiongoza bara. Maana hana uchungu kabisa. Haonekani kujali.
 
Kwa hiyo kutekeleza ushauri wenye tija ni kosa?
Mkuu kuna mahali sisi sote kama nchi huenda tulimkosea Mungu ndiyo maana ya haya yote. Kwa hiyo zile tozo kandamizi nazo ikitokea zinaondolewa itaonekana kuna nia ovu ndiyo maaana zinaondolewa au???. Hii si akili ya kawaida hata kdg. Kama mtu anaweza kuafford bundle la internet anawazaje kuwa na akili mbovu za kiwango hiki? Iko shida kubwa mahali si bure mkuu.
 
Nchi hii ukiamua kuua wajinga utakuta umeua mpaka ndugu zako.
Ukimuuliza ni hatua gani za ujanja ujanja umeona zimechukuliwa hatakuwa na jibu.
Hatua za ujanja ujanja ni kama vile serikali kutoa kauli za matumaini kuwa itashusha bei za petrol/Diesel huku ikijua wazi kuwa huo uwezo haina!
 
Waluoweka hoja ilikuwa wamepangwa kuwaridhisha Ili ionekane Bunge limechukua hatua ila ni geresha tuu, serikali haina hiyo jeuri..

Ndio maana hata hakuna azimio la Bunge so kilichopo ni kutafuta kupunguza kwa labda sh.300 Ili walau mkoani isizidi 3,000
 
Watanzania tumelogwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kila jitihada zinazofanyika hatuna pongezi ni negativity tuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hebu kwa hili tupongeze ushauri wa kina shabiby naona umefanyiwa kazi, tusubiri utekelezaji…
Umelogwa peke yako mzee! Usituingize kwenye matatizo yako
 
Back
Top Bottom