Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka taa za barabarani nazo ni muhimu sana unaposikia taa za barabarani usidhani ni trafic light kaka bali ni taa za kuwamulikia wananchi kwa ajili ya usalama kwanza, vipo vijiji vingine serikali inapoteza sana nguvu kazi kazi, watu wanakabwa usiku, wengine wanabakwa yaani matukio kibao ya uhalifu yanafanyika gizan, kwaiyo wakisema waweke taa za barabarani ni jambo jema sana kidogo zitapunguza uhalifuView attachment 2117287
Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.
Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Kwahiyo unataka TARURA wawaletee mabwawa ya kumwagilia na madawa?View attachment 2117287
Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.
Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Taa za umeme sio recommended tena siku hizi, hivyo hazina uhusiano na TANESCOMkuu unaambiwa TANESCO ndilo shirika pekee la umma linaloingizia serikali matrilioni ya fedha kila mwezi. Huwezi kuikataa fursa hiyo ya kuwekewa taa za barabarani.
Kama ni madawa na maji, basi yatatokana na vyanzo vingine. Ugonjwa wa UVIKO 19 si bado upo, na takwimu tunazipeleka WHO, basi mkopo nafuu ujao unaweza kuelekezwa huko.
Mkuu tunayaheshimu sana hayo maelekezo. Ila kwa ukweli vipaumbele ni vingi sana lakini sio taa za barabarani kwa sasa. Vipaumbele vyetu ni pamoja na miundombinu ya umwagiliaji, majosho na madawa yake ya mifugo, kutoa ruzuku katika pendekezo za kilimo e.g mbolea, madawa n.k.Ndio maelekezo yametolewa, tusubiri kuona utekelezaji
Walizoweka mijini zinawak? Ni nani anazisemea hizo zilizochini ya viwango zilizowekwa mijini zikakaa miezi michache zikafa na hakuna mtu anawajibishwaView attachment 2117287
Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.
Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Hakuna kosa lakini kuna mengi ya muhimu zaidi kuliko Tara za barabaraniKijijini kukiwekwa taa kuna kosa gani?
Mkuu upo sahihi maana sifa moja kuu ya kuitwa kujiji ni kutokuwa na taa ya umeme wa TANESCO barabarani maana ikipata hizo taa nadhani kitaitwa mji mdogo.
Taa za barabarani zinakuja na opportunity maybe lets try see it in a bright side mfano nn sijui anyway kama nani ulinzi dhidi ya waporaji, na wadudu au wanyama wabaya kusogea mbali pia pengine wanaweza ekewa lami au sizebarabara za zege maana kwani izo taa zitachimbiwa chini kami miti na wakifanya hivo tutakuwa na idara yenye maboya duniani.......ni mtazamoView attachment 2117287
Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.
Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Kuna vijiji unatembea 1 km ndio unaikuta nyumba,taa za nini.wapeni maji safi na salama na choo boraNi kosa, kijiji giza ni halali yake.
Eti na huyu majaliwa anauota urais!View attachment 2117287
Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.
Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Mkuu jua kuwa kuna utofati kati ya mji Mkuu, Mji, Mji mdogo na kijiji. Kwa ujumla makazi haya yanapewa majina hayo kutokana na mahitaji ya msingi yatokayo na maendeleo ya sehemu (eneo) husika, na wakati mwingine hata idadi ya watu na uchumi wake. Taa za barabarani ni sehemu ya maendeleo na shughuli za kati na juu za maendeleo. Je kijiji kimeendelea katika sekta zote za kiafya, kielimu, usafirishaji, miundombinu ya barabara, miundombinu ya kilimo pamoja na skimu za umwagiliaji n.k hadi waje kufikiriwa kupewa taa za mitaani, huo ni mtihani kwa kijiji cha Tanzania; ndio maana tunasema taa za barabarani sio hadhi yake labda Mji mdogo.Sheria ya wapi hiyo? Tutajie inayosema ili kijiji kiwe na sifa ya kuwa hivyo ni kutokuwq na taa????
Mkuu, nadhani Dhana nzima ya maendeleo labda haieleweki miongoni mwetu. Hizo taa kama zinatakiwakuwekwa kwenye maendeleo ya sehemu zenye utoshelezi wa sekta za Afya,Elimu n.k. Je sehemu zilizopo mjini zenye taa zimejitosheleza katika nyanja hizo? Hakuna upungufu? Je hizo taa zinahusiana na kutoa tiba au Elimu kwa wananchi? Hoja aliyoisemea Mh. Waziri Mkuu ni kuwa kwenye mikataba ya bara² hata za vijijini kuwepo na components ya taa. Sasa shida hapo ni nini? Je zahanati na vituo vya afya vinavyojengwa vijijini siyo maendeleo? Umeme unaosambazwa kila kijiji basi nao usingepelekwa . Kumbuka teknolojia ya sasa taa ni za solar.. tabu iko wapi? Tuheshimu mawazo ya viongozi wetu nduguMkuu jua kuwa kuna utofati kati ya mji Mkuu, Mji, Mji mdogo na kijiji. Kwa ujumla makazi haya yanapewa majina hayo kutokana na mahitaji ya msingi yatokayo na maendeleo ya sehemu (eneo) husika, na wakati mwingine hata idadi ya watu na uchumi wake. Taa za barabarani ni sehemu ya maendeleo na shughuli za kati na juu za maendeleo. Je kijiji kimeendelea katika sekta zote za kiafya, kielimu, usafirishaji, miundombinu ya barabara, miundombinu ya kilimo pamoja na skimu za umwagiliaji n.k hadi waje kufikiriwa kupewa taa za mitaani, huo ni mtihani kwa kijiji cha Tanzania; ndio maana tunasema taa za barabarani sio hadhi yake labda Mji mdogo.
Mkuu, nadhani Dhana nzima ya maendeleo labda haieleweki miongoni mwetu. Hizo taa kama zinatakiwakuwekwa kwenye maendeleo ya sehemu zenye utoshelezi wa sekta za Afya,Elimu n.k. Je sehemu zilizopo mjini zenye taa zimejitosheleza katika nyanja hizo? Hakuna upungufu? Je hizo taa zinahusiana na kutoa tiba au Elimu kwa wananchi? Hoja aliyoisemea Mh. Waziri Mkuu ni kuwa kwenye mikataba ya bara² hata za vijijini kuwepo na components ya taa. Sasa shida hapo ni nini? Je zahanati na vituo vya afya vinavyojengwa vijijini siyo maendeleo? Umeme unaosambazwa kila kijiji basi nao usingepelekwa . Kumbuka teknolojia ya sasa taa ni za solar.. tabu iko wapi? Tuheshimu mawazo ya viongozi wetu ndug
Vyote ulivyosema ni vitu muhimu lakini taa za barabarani ni muhimu pia ili kupunguza vitendo vya ujambazi na ukatili uliokithiri vijijini. Hata ivyo izo taa zikiletwa lazima wataleta na umeme.View attachment 2117287
Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.
Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Mkuu hata hapo Dar kuna barabara kibao hazina taa za barabarani tena barabara za TANROAD sembuse hizo za vijijini ambazo hazina hata hadhi ya TAURA. Vijijini hamna vibaka kama vijiji vya DarVyote ulivyosema ni vitu muhimu lakini taa za barabarani ni muhimu pia ili kupunguza vitendo vya ujambazi na ukatili uliokithiri vijijini. Hata ivyo izo taa zikiletwa lazima wataleta na umeme.