Waziri Mkuu Majaliwa, Vijijini hatuhitaji taa za barabarani, hii ni kejeli

Watuletee taa huku Ngende bana...tumechoka Giza sisi.
 
View attachment 2117287

Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.

Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Watanzania ifike mahala tuwe na uelewa na tuache unafiki. Mh. Waziri Mkuu hapo amekejeli nini? Dunia ya leo ndo anayoiongelea. Maendeleo yawe sawasawa. Hakuna kusema hiki ni cha mjini au hiki cha kijijini. Binadamu wote ni sawa. Ifike mahali tuunge mkono juhudi z Serikali chini ya Mh. RAIS Samia Suluhu.
Nasisitiza Mh. Waziri Mkuu yuko Sahihi.
Sisi wapinzani tusijifanye vipofu na kupinga kila kitu. Hapo na mimi namuunga mkono. Ndugu zetu nao wainjoi wa vijijini kama sie
 
View attachment 2117287

Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.

Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Top down decisions, ndio mfumo wa maamuzi unao tumika Tanzania. Mwananchi hahusishwi.
 
View attachment 2117287

Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.

Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
as if uko kijijini......hata hivyo mijini kuliko taa za barabarani huduma za kijamii katika afya, shule zimekamilika? Kwa nini kuna taa za barabarani?
 
View attachment 2117287

Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.

Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Ivi wewe bado unawasikiliza hawa jamaa?? Nani ataleta taa za barabarani vijijini kwanza ombeni angalau lije doza lifukie hayo mashimo hizo njia zenu za vumbi vumbi halafu muwekewe japo kifusi kwanza.
 
Ni vema sana yaani zikiwekwa.

Lakini je, ni nani atalipa bili za umeme wake?

Ndani ya majiji tu huwa wanazima kuogopa bili...uko kijijini je?
Taa za solar ndio hutumika, lakini ni matumizi mabaya ya raslimali. Kuna mahitaji muhimu ambayo yanahitajika vijijini zaidi ya taa. Maji bado ni tatizo, watoto bado wanatembea umbali mrefu kwenda shule.. nk.
 
Watanzania hawana jema

Unasahau kwamba hizo taa ni sehemu ya kuimarisha ulinzi wa eneo. Mnajua kulaumu tu
Mnajua kulalamika tu
Utakuwa mnufaika wa upigaji pesa hizo. Taa ni muhimu kuliko dawa, maji na wahudumu kwenye zahanati? Unajua zahanati nyingi hazina umeme? Unajua zinafanya kazi shift moja kwa kukosa wahudumu? Tunaopinga tunaangalia priority.
 
Mkuu unaambiwa TANESCO ndilo shirika pekee la umma linaloingizia serikali matrilioni ya fedha kila mwezi. Huwezi kuikataa fursa hiyo ya kuwekewa taa za barabarani.

Kama ni madawa na maji, basi yatatokana na vyanzo vingine. Ugonjwa wa UVIKO 19 si bado upo, na takwimu tunazipeleka WHO, basi mkopo nafuu ujao unaweza kuelekezwa huko.
Huijui Tanesco! Hizo trilions ulisha ziona kwenye budget? Acha trilions, hata wangekuwa wanaingiza a trilion moja, serikali ingekuwa inatembeza bakuli kwa wafadhili? Trilions za Tanesco zinashindwa kuliendesha shirika mpaka luzuku!
 
Kuna vijitu vinavyo ishi mijini huko vinajiona vyewewe vinahaki ya kunufaika na keki ya Taifa kuliko waishiyo vijijini, nani kakwambia wa vijijini hawataki taa barabarani? Wamechoka kutumbukia mitaroni.
Vijiji vyote vina barabara? Hata mijini si mitaa yote ina barabara, mbali ya taa.
 
Wewe jamaa inaonekana kijijini kwenu hakuna maendeleo... Nenda Moshi na Kagera ujionee maendeleo ya vijijini...Vijijini Kuna centers...Muhimu kuwa na taa... Kwani taa kitu gani??
Moshi na kagera kuwa Tanzania ni dunia nyingine, hakuna vijiji, kuna centers. Miji yetu ya wilaya, Ulaya ni centers.
 
View attachment 2117287

Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.

Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Vijiji vyenu havihitaji, Sisi wa Vunjo na Kilimanjaro Kwa Ujumla Vijiji Vyetu vinahitaji taa
 
Hawa akina kasimu bana, kijijini umeme hamna sasa hizo taa watatumia nini
 
View attachment 2117287

Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.

Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Eti huyu ndio anaonekana kichwa huko jumba jeupe. Mtua hawezi hata tenganisha mchele na chuya.
 
Back
Top Bottom