Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
nashukuru mkuu wangu.Me nimekuelewa sn sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nashukuru mkuu wangu.Me nimekuelewa sn sn
Tulia ww na hiyo BAMC yako uli ogelea kwenye dawa ukatoka na kupe wako wote[emoji1787][emoji1787]. Mods au moods siyo official name or abbreviation kama UNICEF, URT, TBC, nk. Naweza iweka nitakavyo. Ndio maana nakwambia shule yako ni ndogo.Hivi ni Mods au Moods kama ulivyoandika? Pumbavu.
Nakazia mkuu.Aliye andika hapa ni shouger kabisa
Ya 'Kukuweka' au?Fanya kazi acha porojo
Wewe jamaa kila unavyocomment unadhihirisha kiasi gani ulivyo mjinga .Haya wapi nimesapoti mawazo ya GENTAMYCINE ? profile yangu ipo wazi tafuta sehemu yeyote inavyoonyesha mimi kumuombea wivu huyo mtoto na kupinga kuwa mpango wa Ndege haujawahi kuvunjwa .Level yako ya IQ na Genta ni same Category.
Na umri wenu mna kuja kupinga eti Mlango wa ndege hauwezi kuvunjwa na External Force? Yaani mtoto wa miaka 19 nae ni wa kumuonea Wivu? Hivi huko vyuoni huwa mna soma ma ujinga gani?
Kama 'Babaako' vile.Nakazia mkuu.
Kalale ww, Elimu iliyo ktk Arguments zako ni sawa na House Girl wangu. Kojoa ulale. Niachie GENTA. Ni mnyooshe make naona moderators wana mlea hovyo hovyo.Wewe jamaa kila unavyocomment unadhihirisha kiasi gani ulivyo mjinga .Haya wapi nimesapoti mawazo ya GENTAMYCINE ? profile yangu ipo wazi tafuta sehemu yeyote inavyoonyesha mimi kumuombea wivu huyo mtoto na kupinga kuwa mpango wa Ndege haujawahi kuvunjwa .
NB : Mimi hizi habari zijazitilia maajabu na sipo upande wowote ule kwani mimi kawaida ile nisimame upande fulani lazima niichunguze jambo na kupata ushahidi wa kutosha vinginevyo na baki bila kufungamana na upande wowote ule.
Kama 'Babaako' vile.
Nimekuomba uthibitishe ulichokidai kuwa mimi nimesema umeshindwa matokeo unaenda nje ya mada .Kama umefikia ujinga kiasi hiki hauna haustaili kuendelea na mjadala na mimi ngoja nikuacheKalale ww, Elimu iliyo ktk Arguments zako ni sawa na House Girl wangu. Kojoa ulale. Niachie GENTA. Ni mnyooshe make naona moderators wana mlea hovyo hovyo.
Wewe lala. IQ zako na huyo mwenzio ni sawa.Nimekuomba uthibitishe ulichokidai kuwa mimi nimesema umeshindwa matokeo unaenda nje ya mada .Kama umefikia ujinga kiasi hiki hauna haustaili kuendelea na mjadala na mimi ngoja nikuacheView attachment 2418060
🤣🤣🤣🤣 Nawewe umestukia mkuu.Acha kuandika thread za kishoga
Sawa ,si vibaya kufanana na mtu .Mimi nimekurekebisha kistaarabu kuwa lugha uliyoitumia ni mbaya sana tofauti na unavyohuri humu vilevile si sawa kimaadili .Sasa kama kusema hivi ni kosa nakubali mimi nitolewe akili kutokana na hiloWewe lala. IQ zako na huyo mwenzio ni sawa.
Si nimeona una post picha za stupidity mara Idiot? Au hujui ni matusi?Sawa ,si vibaya kufanana na mtu .Mimi nimekurekebisha kistaarabu kuwa lugha uliyoitumia ni mbaya sana tofauti na unavyohuri humu vilevile si sawa kimaadili .Sasa kama kusema hivi ni kosa nakubali mimi nitolewe akili kutokana na hilo
Cha pili ukanilisha maneno kuwa napinga kijana kuwa alifungua mlango na kunihusisha kusapoti huu uzi kitu ambacho hujathibitisha na umenizulia maneno ambayo si yangu.Kukuambia hivi tena ukaanza kebehi bila kuthibitisha .
Hitimisho : Mjadala na wewe nimeishia hapa Kazi yangu nimemaliza vyoyote utakavyosema ni wewe na nafsi yako.
🤣🤣🤣🤣 Nawewe umestukia mkuu.
Halafu on a serious note hivi huyu mtoa mada huwaga ni me au ke?
Kosa la kuhubiri kitu na kwenda kinyume pamoja na kuongeza kitu pasi na ushahidi ni halali kuitwa stupid and idiot .Siku fanya hivyo ila baada ya kupima uwezo wako wa kufikiri .Si nimeona una post picha za stupidity mara Idiot? Au hujui ni matusi?
Ebu lala. Huna hoja. Hoja zangu leo ni kumshughulikia GENTA aache utoto wa kutukana watu hovyo hovyo hapa JF.
Plz keep Off. Am not your class!
Umekumbuka lakini Kunywa Kidonge chako cha Tatizo la Akili ( Uwendawazimu Ulionao ) Ulilonalo?Obviously mtoa mada ni mwanamke. Kama ni mwanaume basi atakuwa mwanaume tata ndio maana thread zake za kijinga jinga tu
Bado hujajibu hoja ya msingi kwamba waliofungua mlango wa ndege ni wahudumu wa ndege. Kwa nini record zisiwekwe sawa kwamba baada ya wahudumu wa ndege kufungua mlango Majaliwa, ambaye alikuwa ni mmoja wa wavuvi waliofika mapema, walisaidia kuwatoa wahanga kutoka kwenye ndege na kuwapakia kwenye mtumbwi?? Why can't we have straight facts? Unfortunately we also don't have investigative journalism..Mimi ninachokisema mtu akifunguliwa njia za mafanikio hakuna atakayeweza kuzifunga ndicho kilichotokea, na hapo juu sijakiri bali nimeleta assumptions tu kulingana na vile mnapenda kusikia.
My take: majaliwa ameshapata ajira na zawadi kutoka kwa wadau tumuache ale mavuno ya ujasiri wake.
Hujui hata maana zake. Coz hata Elimu yako ni ndogo. Ww na huyo mwenzio ni ng'ombe walio pelekwa josho (shule) na waka rudi na kupe wao (ujinga).Kosa la kuhubiri kitu na kwenda kinyume pamoja na kuongeza kitu pasi na ushahidi ni halali kuitwa stupid and idiot .Siku fanya hivyo ila baada ya kupima uwezo wako wa kufikiri .