GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #261
Nakushukuru Mkuu kwa Kulitambua.Leo nimedhibitisha kauli ya GENTAMYCINE kuwa kuna IDs za kimkakati zinashirikiana kumshambulia tena ni wengine tena wengine wanajibadilisha kwa sura nyingine lakini mwamba ni jeshi la mtu mmoja anadili na wote nyie sambamba .Tusi ullilotukana juu linatosha kukujukisha wewe ni mtu wa hovyo kiasi gani haina haja ya kujitambulisha .
Ndiyo maana Simkubali na namuandana.Majaliwa K ni muongo muongo sana...
Do you really expect that 'damn Fool' and 'Mental' WAZO2010 to know about it Chief?Madada Wawili walipona..marubani wawili walifariki
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hii point ya kuchanganyikiwa Wanasheria wengi wanapenda kuitumia Mahakamani kwenye utetezi wao! Hapo case closed au siyo!!?Hao wadada walishachanganyikiwa huko kwenye maji.....
Nina Umuhimu ambao hata Rais wako Samia, CDF Mstaafu Gen Mabeyo na Current CDF Mkunda na 85% ya TISS Staff bila Kusahau 95% ya Watendaji wa Serikali ya Tanzania na 98% ya Wasomi wa Vyuo Vikuu nchini wanaujua na ndiyo maana Wananisoma na hata kufanyia Kazi Mada zangu hapa JamiiForums sawa?Sasa ana umhimu gani Tz hadi watu wamsakame ? Tatzo lake ni matusi. Ashukru mm ni muwazi. Nime amua ni msaidie leo.
Ila uelewako sidhani kama una weza fundisha hata std 1
Binafsi, sina tabu na mada zako. Ila uache matusi tu.Nina Umuhimu ambao hata Rais wako Samia, CDF Mstaafu Gen Mabeyo na Current CDF Mkunda na 85% ya TISS Staff bila Kusahau 95% ya Watendaji wa Serikali ya Tanzania na 98% ya Wasomi wa Vyuo Vikuu nchini wanaujua na ndiyo maana Wananisoma na hata kufanyia Kazi Mada zangu hapa JamiiForums sawa?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!
Kinachoniuma hasa ni kwanini Safari hii Umetoa Mimba yangu wakati Umeshanizalia sana tu?Wewe kilichokuuma Ni pesa au unakingine...
Wivu wa kike
Akili kubwa kama hii huwezi kamwe Kuikuta kwa Moron and Mental WAZO2010 na Wenzake kadhaa Waliouchangia Kiupang'ang'a kabisa Uzi huu.Ulivyoandika kua tutumie Logic au Reason nikadhani labda utaenda kwenye details. Wewe sema tu mlango wa ndege unaofungwa ili usipitishe hata hewa unauvunjaje kutokea nje na kasia ?
Inawezekana mtumbwi wa Majaaliwa ndio uliobeba wahanga, au ye ndo aliewatoa ndani lakini kwenye kuvunja mlango sio yeye.
Na ye alivyoingia ndani akajigonga wapi sijui akaishia kuzimia na kuja kuzindukia hospital. Kwa hiyo mengine yaliyoendelea hakuhusika nayo. Anaweza kua shujaa kuna yake alifanya lakini sio kama anavyopambwa.
Rubbish and Nonsensical.Hao wasaidizi walipofungua mlango,waliwabeba abiria mpaka ufukweni?Wavuvi wakiongozwa na Majaliwa wakifika na mitumbwi yao na kuwabeba wasaidiz na abiria na kuwaokoa.Tuwapongeze sana wavuvi wetu wa dagaa na samaki waliokoa wahudumu na abiria.
Search Threads zangu zina akili sana. Vipi Leo uja anzisha uzi wa muuza Ngada wenu wa Simba?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akili kubwa kama hii huwezi kamwe Kuikuta kwa Moron and Mental WAZO2010 na Wenzake kadhaa Waliouchangia Kiupang'ang'a kabisa Uzi huu.
Genius GENTAMYCINE anaweza Kufundishwa na Mpumbavu Mwandamizi kama Wewe?Una penda kutaja taja watu ktk post zako. Afu upunguze ujinga. Hii shule ilikuwa ya GENTA ila kiherehere chako tu kikakuleta.
Na hapa ( kwa hili ) ndiyo nilianza Kumchukia, Kumdharau na hata Kutomuamini tena Mkuu.Kumbuka kauli yake Maarufu:
"Rais Magufuli ni mzima wa afya na anachapa kazi usiku kucha halali, mnataka azurure ili iweje?""😀
Dalili za Ukichaa ni kutukana hovyo. Nadhani Milembe pana kuhusu.Genius GENTAMYCINE anaweza Kufundishwa na Mpumbavu Mwandamizi kama Wewe?
Fanya haraka Ukatibiwe Ugonjwa wako huo wa Akili unaokutesa Milembe Dodoma au Lutindi Tanga sawa?
Pumbavu na Mwendawazimu ni Tusi?Binafsi, sina tabu na mada zako. Ila uache matusi tu.
Kama Uliyonayo na Uliyotukuka nayo.Uchawi ni matendo
Ndio maana nasema shule uli ogelea tu uka toka na uchafu wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pumbavu na Mwendawazimu ni Tusi?
Nataka nianzishe ule wa 'Unavyowekwa' 24/7 na Kufurahia je, unaniruhusu au?Search Threads zangu zina akili sana. Vipi Leo uja anzisha uzi wa muuza Ngada wenu wa Simba?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm sina shida na ww. Hata upost ukijisaidia. Mm niko na ww kwenye kukufunza ueshimu watu wote hapa JF. Matusi hapana. Ww ni mtu mzima ebho!!Nataka nianzishe na 'Unavyowekwa' na Kufurahia je, unaniruhusu au?