Elly Andrew
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 411
- 175
sio wahudumu wanasema msikilize Auditor Nickson Jackson aliyepona kwenye hiyo ajali anaeleza bila kupepesa macho alisubiri muhudumu akafungua mlango wakawaona wavuvi wakija wakaokelewa hili la mlango liko wazi haliitaji mjadala waliopona wengi wamemuona muhudumu akifungua mlango. Pongezi Kwa majaliwa alifika mapema akaokoa maisha haya ya mlango hayamuhusu"Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera.
"Huyu Kijana tena Wajina wangu Majaliwa Jackson ni Shujaa kweli na lazima tumpe Asante kwani Yeye ndiyo alienda ilipo Ndege na kwa Kutumia Makasia aliyokuwa nayo akafungua Mlango wa Ndege na peke yake Kuokoa Abiria wote" Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.
Kazi ipo hakyanani.
Ww unae sema ali sema yeye ndie alie fungua mlango. Mtaje jina na weka picha. Ali hojiwa na media gani? Weka video. Coz majina ya Marehemu na majeruhi wa ajali yote yapo hapa ktk uzi mmoja hapa JF na huyo mhudumu hajawahi jitokeza.
Io sio bahati ww, huo ni umbumbavu, viongozi kuongea uongo hadharan NI kitu kibaya sanaTuache wivu wakuu, huyo dogo bahati yake tusiilalie mlango wazi kwa hali yeyote hata kama hajafungua yeye basi ameshiriki kuokoa watu hilo linatosha kuutambua msaada wake.
Hujui hata content ya uzi, una ropoka tu hapa na Elimu yako ndogo.Utumbo kama huu ndio unajisifia kuwa una akili wewe Dada?View attachment 2418393
Halafu sikujua kama wewe mdada , vipi siwezi kuja kutoa mahali kwenu nikuoe ?
Ndio maana nakwambia Elimu ni ndogo. Hata Title na Content huwezi elewa. Level zako ni akina GENTAUtumbo kama huu ndio unajisifia kuwa una akili wewe Dada?View attachment 2418393
Halafu sikujua kama wewe mdada , vipi siwezi kuja kutoa mahali kwenu nikuoe ?
Majaliwa Naye aliokolewa na wenzake ,Kama sio wenzake kumuokoa , pengine wangetafuta shujaa mwinginesio wahudumu wanasema msikilize Auditor Nickson Jackson aliyepona kwenye hiyo ajali anaeleza bila kupepesa macho alisubiri muhudumu akafungua mlango wakawaona wavuvi wakija wakaokelewa hili la mlango liko wazi haliitaji mjadala waliopona wengi wamemuona muhudumu akifungua mlango. Pongezi Kwa majaliwa alifika mapema akaokoa maisha haya ya mlango hayamuhusu
Najua dawa imekuingia vzr. Soon uta anza kujibu watu kwa staha na Hekima.Chuo cha huo Upumbavu ulionao na Udangaji unaoufanya?
Jf imevamiwa na watu WA hovyo sanaHujui hata content ya uzi, una ropoka tu hapa na Elimu yako ndogo.
Mkuu tafuta pesa achana na mambo za kike huo Ni udwanzi Kama vipi badili jinsiaKinachoniuma hasa ni kwanini Safari hii Umetoa Mimba yangu wakati Umeshanizalia sana tu?
mimi sizungumzii viongozi namuongelea kijana majaliwa..Io sio bahati ww, huo ni umbumbavu, viongozi kuongea uongo hadharan NI kitu kibaya sana
Wewe 'Unavyowekwa' kutwa hujidhalilishi, hudhalilishi Familia yako na Koo zako zote mbili?Kipanga gani? Unadhalarisha hata hicho chuo chako.
Niwe 'Tomboy' kama Wewe au?Mkuu tafuta pesa achana na mambo za kike huo Ni udwanzi Kama vipi badili jinsia
Angewaacha wafie humo hio ndege ilikua imebeba wapumbavusio wahudumu wanasema msikilize Auditor Nickson Jackson aliyepona kwenye hiyo ajali anaeleza bila kupepesa macho alisubiri muhudumu akafungua mlango wakawaona wavuvi wakija wakaokelewa hili la mlango liko wazi haliitaji mjadala waliopona wengi wamemuona muhudumu akifungua mlango. Pongezi Kwa majaliwa alifika mapema akaokoa maisha haya ya mlango hayamuhusu
GENTA ambaye Kutwa unamtaka 'akuweke' ila hataki?Ndio maana nakwambia Elimu ni ndogo. Hata Title na Content huwezi elewa. Level zako ni akina GENTA
Pumbavu na Mwendawazimu ( kama Wewe ) huwa ana Dawa ya Kutibu Changamoto yoyote kwa Mwanadamu?Najua dawa imekuingia vzr. Soon uta anza kujibu watu kwa staha na Hekima.
Ukiwa Kinara ( Mwandamizi ) wao Mkuu.Jf imevamiwa na watu WA hovyo sana
Halafu Familia zao Ungezilisha Wewe?Angewaacha wafie humo hio ndege ilikua imebeba wapumbavu