Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

Mtu mwenyewe maisha magumu. Fanya business kima wewe.
Wakihitajika Watu wenye Maisha mazuri Wajitokeze mbele 'Uncircumcised Baboon' Wewe utathubutu kutoa Pua yako hiyo Kubwa kama Honi za Mabasi ya Mwendokasi?
 
Wakihitajika Watu wenye Maisha mazuri Wajitokeze mbele Uncircumcised Baboon Wewe utathubutu Kutoka?
Hii ndio fani yako[emoji1787][emoji1787] eti BAMC. Ulipoteza ADA yako chuo, ukarudi na kichwa kipana tu.
 
Ukiona tu GENTAMYCINE namdharau sana Mtu hapa JamiiForums kama huyu WAZO2010 jua ni Mpumbavu na Mwendawazimu.
Sema nimekushughulikia ipasavyo toka jana. Huwezi kuleta ujinga hapa JF afu wote tukuache. Ww ni mtu mzima ebho! I expect positive changes from You[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Afu uwe una post thread zangu nzima. Tulinganishe MADINI yake na nyie wote mkiungana na huyo kima mwenzio GENTA.
Huyo GENTA ana 120+ Followers hapa JamiiForums ukiwemo nawe na ile ID yako nyingine ya Kocha Msaidizi wa Simba SC anayeenda Kusoma sasa na ile nyingine ya Chama Kikubwa cha Siasa Israel ambacho aliye katika Avatar yangu GENTAMYCINE ndiyo Kiongozi wao.

Cc: adriz
 
Sema nimekushughulikia ipasavyo toka jana. Huwezi kuleta ujinga hapa JF afu wote tukuache. Ww ni mtu mzima ebho! I expect positive changes from You[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi 'nimekushughulikia' na 'Kukuweka' vile vile sasa nani Kafanikiwa zaidi?
 
Huyo GENTA ana 120+ Followers hapa JamiiForums ukiwemo nawe na ile ID yako nyingine ya Kocha Msaidizi wa Simba SC anayeenda Kusoma sasa na ile nyingine ya Chama Kikubwa cha Siasa Israel ambacho aliye katika Avatar yangu GENTAMYCINE ndiyo Kiongozi wao.

Cc: adriz
Si una ona sifa zako za kitoto. Hapa nakushughulikia uache matusi. Tafta huyo kilaza mwenzio aku support ila dawa ina penya tu.
 
Kasoma na Mmoja wa Wajomba zangu alikuwa pia ni very poor Academically kama ilivyo kwa WAZO2010 hivyo simshangai sana.
Toka jana JF ime tulia. Huja anzisha tena Thread zako za kijinga. Baada ya mimi kukushughulikia ipasavyo. At least now I can notice some Quantifiable Changes from You GENTA [emoji1787][emoji1787]
 
Wewe elimu yako imekusaidia nini kama unalialia kupata kazi na kukosa hata maarifa kidogo ya kuweza kujiajiri .Kwa nini muda wako usiutumie kutafuta mbinu za kukuingizia kipato baada kutwa kushinda Jf ukiandika pumba ?View attachment 2418608

Kama bado haujapa Kazi mpaka sasa njoo home uwe house girl wangu.View attachment 2418608
Acheni hizi mambo nyie watu wazima
 
Naomba kufahamishwa shida ni kufungua mlango au kuokoa watu?
Anyway tufanye mlango ulifunguliwa na Air hostes je kukokoa napo hakuokoa?
 
Yule dogo inawezekana hakufungua mlango lakini alishiriki katika uokoaji, kwa hiyo atambulike hivyo tu inatosha
 
Afu uwe una post thread zangu nzima. Tulinganishe MADINI yake na nyie wote mkiungana na huyo kima mwenzio GENTA.
"Afu" ndio kitu gani ? kama mtoto wa kiume unaandika "Afu" badala ya "Halafu" inabidi uchunguzwe kisawasawa.

Muda wa kufanya hiyo Kazi sina nina mambo mengi ya umuhimu ya kufanya.
 
"Afu" ndio kitu gani ? kama mtoto wa kiume unaandika "Afu" badala ya "Halafu" inabidi uchunguzwe kisawasawa.

Muda wa kufanya hiyo Kazi sina nina mambo mengi ya umuhimu ya kufanya.
Wewe ndie demu. Hata nguvu za kiume huna. Hadi uboost kwa supu ya pweza[emoji1787][emoji1787]
Screenshot_2022-11-16-17-31-19-562_com.quoord.jamiiforums.activity~2.jpg
 
Back
Top Bottom