Ok.Wewe ndie demu. Hata nguvu za kiume huna. Hadi uboost kwa supu ya pweza[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2418884
Supu ya pweza ina faida lukuki ikiwemo kuondoa uchovu ,kama nilivyosema hapo inachangamsha sana unaweza mtu kunywa kuondoa uchovu wa Kazi na ndiyo content ya uzi na comments yangu wala haikuhusu maswala ya nguvu za kiume upo ?Wewe ndie demu. Hata nguvu za kiume huna. Hadi uboost kwa supu ya pweza[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2418884
Uzi uli husu nguvu za kiume.Supu ya pweza ina faida lukuki ikiwemo kuondoa uchovu ,kama nilivyosema hapo inachangamsha sana unaweza mtu kunywa kuondoa uchovu wa Kazi na ndiyo content ya uzi na comments yangu wala haikuhusu maswala ya nguvu za kiume upo ?
Kwa nini unapenda kutumia uwingi "tuendelee"?? Si uendelee wewe why involve others who want to know the truth?ile tu kujadili alikuwa majaliwa au nani kwa wakati huu haina faida, tuendelee na maisha mengine mkuu.
"Uli husu" ndio kitu gani ?andika vizuri ujibiwe kila mara unarudia makosa kama mtoto wa darasa la pili ,sasa nimekuvumilia nimeshindwa .Uzi uli husu nguvu za kiume.
Komaa kuongeza nguvu za kiume tu. Dume jike."Uli husu" ndio kitu gani ?andika vizuri ujibiwe kila mara unarudia makosa kama mtoto wa darasa la pili ,sasa nimekuvumilia nimeshindwa .
Nimefikia mwisho wa majalidiliano na wewe na nakushauri tenga muda wa kujifunza kuandika , kwa sasa sitokuQuote tena kwa ujinga wako huu ambao unajirudia mara zote .
Ulivyo na maisha magumu una tamani hata uwe jambazi. Na huyo mmeo mna ndoa ya muda mrefu kumbe"Uli husu" ndio kitu gani ?andika vizuri ujibiwe kila mara unarudia makosa kama mtoto wa darasa la pili ,sasa nimekuvumilia nimeshindwa .
Nimefikia mwisho wa majalidiliano na wewe na nakushauri tenga muda wa kujifunza kuandika , kwa sasa sitokuQuote tena kwa ujinga wako huu ambao unajirudia mara zote .
Upo sahihi neno asante lilitosha sana ukiona haujawa recognized ujue zamu yako bado hao wahudumu sio muda wa kuleta hyo maelezo ilhali marubani wao wameangamia watulie wamshukuru Mungu yatosha kijana majaliwa ndiye shujaa kwa sasa .Tuache wivu wakuu, huyo dogo bahati yake tusiilalie mlango wazi kwa hali yeyote hata kama hajafungua yeye basi ameshiriki kuokoa watu hilo linatosha kuutambua msaada wake.
Hapa ukweli uko pale pale, ni kweli kabisa wahudumu walifungua vitasa vya mlango kutokea ndani , lakini baada ya kutegua vitasa palitokea ugumu Fulani. Kufungua kwenda chini. Chini kuna maji maji yanausukuma juu"Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera.
"Huyu Kijana tena Wajina wangu Majaliwa Jackson ni Shujaa kweli na lazima tumpe Asante kwani Yeye ndiyo alienda ilipo Ndege na kwa Kutumia Makasia aliyokuwa nayo akafungua Mlango wa Ndege na peke yake Kuokoa Abiria wote" Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.
Kazi ipo hakyanani.
Bado una hamu niwe 'Muwekaji' wako 'Tukuka' kama utakavyo na unavyonishobokea Kutwa?Degree 2010. Masters 2012. PhD soon. Kazi ninayo toka kitambo. Ni categorization ilikuwa. Shida IQ ndogo.
Siyo una tuandikia hapa upuuzi jitu zima.
Bora nime kunyoosha siku 2 Thread zako za hovyo zime pungua JF. Big up[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado una hamu niwe 'Muwekaji' wako 'Tukuka' kama utakavyo na unavyonishobokea Kutwa?
Genius kama Mimi kujishughulisha na Mtu Moron na Mental kama huyo ( huyu ) WAZO2010 ni Kujidhalilisha na Kuwaaibisha Wayahudi ( Israel ), Wazanaki ( Tanzania )na Watutsi ( Rwanda ) walionirithisha hizi Akili Kubwa ninazozimiliki kwa Baraka zake nyingi Mwenyezi Mungu.Nakazia akili huna ,hausomi post vizuri na kudadavua yaliyomo .
Mimi sijadharau mtu kufanya interview kwa namna yeyote bali nimepinga tabia ya kulialia na kulalamika mitandaoni kisa kukosa kazi kwani msomi hana pigo za kulalamika hovyo bali anachukua hatua stahiki kwenye matatizo na kutatua .
Mwambie GENTAMYCINE akupe mbinu za kuelewa vitu kwa ufanisi na kuchanganua ili siku nyingine usirudie kosa kama hili la leo sawa ?
Bado una hamu niwe 'Muwekaji' wako 'Tukuka' kama utakavyo na unavyonishobokea Kutwa?Bora nime kunyoosha siku 2 Thread zako za hovyo zime pungua JF. Big up[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shida yangu ni kukunyoosha tu. Ila naona ume badilika tiyari. Sasa naweza kukuacha. Byebye GENTA[emoji1787][emoji1787]Bado una hamu niwe 'Muwekaji' wako 'Tukuka' kama utakavyo na unavyonishobokea Kutwa?
Media Ethics 5 ni kama zifuatazo...Hapo SAUT , uliambulia kupanuka bichwa tu. Ndani ni kopo. Ebu taja media ethics 5 tu[emoji1787][emoji1787]
Hii ndio fani yako. Chuo umehitimu 2009 hiyo BAMC yako[emoji1787][emoji1787]. Umri wako ni kati ya miaka 37 hadi 42. Ila akili ni nukta.Media Ethics 5 ni kama zifuatazo...
1. Pumbavu
2. Mwendawazimu
3. Unawekwa
4. Mshobokaji
5. Una hamu Nikuoe ila Sikutaki
Huu mchongo ni lazima umtokee mtu puani"Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera.
"Huyu Kijana tena Wajina wangu Majaliwa Jackson ni Shujaa kweli na lazima tumpe Asante kwani Yeye ndiyo alienda ilipo Ndege na kwa Kutumia Makasia aliyokuwa nayo akafungua Mlango wa Ndege na peke yake Kuokoa Abiria wote" Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.
Kazi ipo hakyanani.
Uninyooshe au Umeshashindwa Vita ya Maneno na Majibizano nami? Nilikuonya ila hukutaka Kusikia Pumbavu ( Fool ) WeweShida yangu ni kukunyoosha tu. Ila naona ume badilika tiyari. Sasa naweza kukuacha. Byebye GENTA[emoji1787][emoji1787]
Yule mkeo asiye na nguvu za kiume tiyari nime mnyoosha. Katulia tulii.Uninyooshe au Umeshashindwa Vita ya Maneno na Majibizano nami? Nilikuonya ila hukutaka Kusikia Pumbavu ( Fool ) Wewe
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!
Acha kuhangaika kuhisia Umri wangu Pumbavu Wewe sawa? Nina miaka 87 kwa sasa je, una lingine?Hii ndio fani yako. Chuo umehitimu 2009 hiyo BAMC yako[emoji1787][emoji1787]. Umri wako ni kati ya miaka 37 hadi 42. Ila akili ni nukta.
Ila changes nime ziona two days, bila thread[emoji120][emoji120]