GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #421
Ni huyo huyo Mpenda kupaka 'Super Black' Nywele zake ili Kuficha Mvi zake na asionekane Kijeba ( Mzee ) na 2025 au 2030 agombee Urais nchini.Huyu Mjaliwa aliyesema Rais ni mzima na kamtuma kuwaambia Wabongo tufanyekazi anatusalimia. Ama.Majaliwa mwingine?
Walikuwa wapi Wao au Wafuasi Wao Kumzuia? Nikisema huna Akili unadhani ninakuonea au nakukashifu wakati kumbe huwa namaanisha na huwa nakuwa sahihi 100% Kwako.Hivi bila akina Chief Mkwawa, mtemi Isike, Mangungo, nk unadhani huo Uhuru wangempa kirahisi tu kwa makarstasi ee?
Nlikwambia hii ndege ilikua imebeba waongo kama PM MajaliwaWakuwaamini walikuwa ni Marubani na kwa bahati mbaya Wote Wamekufa / Walikufa pale pale baada ya Maji Kuingia katika 'Cockpit' yao Wakipambana Kujiokoa.
Majaliwa sio wa kuaminika milele daima. Kaingizwa king kijinga sana na Majaliwa mwenzake. Yaani yule kinda afungue mlango wa ndege!! Hata kujiuliza kashindwa. Mwenye picha ya Majaliwa akivunja kioo cha ndege na nani alimbeba kumpeleka wodini. Kale kamajaliwa kakibaka.Ni huyo huyo Mpenda kupaka 'Super Black' Nywele zake ili Kuficha Mvi zake na asionekane Kijeba ( Mzee ) na 2025 au 2030 agombee Urais nchini.
Fools are always Supportive to each other.Ubarikiwe this is fact
😂Mkuu mawazo ya Kila mtu yaheshimiwe ukitaka kubwa Kila mmoja awe na mtazamo kama wako utafika umechoka sana. Finally tumia lugha ya staha utaeleweka tuFools are always Supportive to each other.
Ukiipata hiyo Picha naachana rasmi kuwa Mshabiki wa Simba SC yangu na nahamia Yanga SC Mubashara au naenda Kunya ( Kuukweka ) kabisa MP 1 Lugalo Makongo tena Mchana kweupe kabisa.Majaliwa sio wa kuaminika milele daima. Kaingizwa king kijinga sana na Majaliwa mwenzake. Yaani yule kinda afungue mlango wa ndege!! Hata kujiuliza kashindwa. Mwenye picha ya Majaliwa akivunja kioo cha ndege na nani alimbeba kumpeleka wodini. Kale kamajaliwa kakibaka.
Naona Sindano imechoma mahala pake.😂Mkuu mawazo ya Kila mtu yaheshimiwe ukitaka kubwa Kila mmoja awe na mtazamo kama wako utafika umechoka sana. Finally tumia lugha ya staha utaeleweka tu
Kaa kwa kutulia sindano gani hakuna mashikoNaona Sindano imechoma mahala pake.
Kwako Wewe huu Upumbavu unaouzungumza / uliouandika hapa ndiyo Mashiko?Kaa kwa kutulia sindano gani hakuna mashiko
Majaliwa hili lilikua ni zali lake basi ibaki kuwa hivyo tu hakuna namna ameshatusua maisha kimtindo"Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera.
"Huyu Kijana tena Wajina wangu Majaliwa Jackson ni Shujaa kweli na lazima tumpe Asante kwani Yeye ndiyo alienda ilipo Ndege na kwa Kutumia Makasia aliyokuwa nayo akafungua Mlango wa Ndege na peke yake Kuokoa Abiria wote" Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.
Kazi ipo hakyanani.
okay mkuu wacha niendelee na mambo ya maana.Kwa nini unapenda kutumia uwingi "tuendelee"?? Si uendelee wewe why involve others who want to know the truth?
asante.Upo sahihi neno asante lilitosha sana ukiona haujawa recognized ujue zamu yako bado hao wahudumu sio muda wa kuleta hyo maelezo ilhali marubani wao wameangamia watulie wamshukuru Mungu yatosha kijana majaliwa ndiye shujaa kwa sasa .
shukran mkuu, ubarikiwe pia.Ubarikiwe this is fact
siku zote mlango wa ndege hufunguliwa na mtu wa nje wahudumu walipata ajali waliwezaje kufungua mlangoTuache wivu wakuu, huyo dogo bahati yake tusiilalie mlango wazi kwa hali yeyote hata kama hajafungua yeye basi ameshiriki kuokoa watu hilo linatosha kuutambua msaada wake.
mimi sijawahi kupanda ndege mkuu wangu, ila kama ni hivyo basi itakuwa inakazia hoja hapo juu.siku zote mlango wa ndege hufunguliwa na mtu wa nje wahudumu walipata ajali waliwezaje kufungua mlango
Ni vyema kama hujawahi kupanda Ndege halafu pia ni Mshamba basi ufiche Umbumbu ( Upan'gang'a ) wako sawa?siku zote mlango wa ndege hufunguliwa na mtu wa nje wahudumu walipata ajali waliwezaje kufungua mlango
Acha kuliamini hilo Juha lililokudanganya kuwa Milango ya Ndege hufunguliwa na Mtu wa Nje.mimi sijawahi kupanda ndege mkuu wangu, ila kama ni hivyo basi itakuwa inakazia hoja hapo juu.