Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

Huyu Mjaliwa aliyesema Rais ni mzima na kamtuma kuwaambia Wabongo tufanyekazi anatusalimia. Ama.Majaliwa mwingine?
Ni huyo huyo Mpenda kupaka 'Super Black' Nywele zake ili Kuficha Mvi zake na asionekane Kijeba ( Mzee ) na 2025 au 2030 agombee Urais nchini.
 
Hivi bila akina Chief Mkwawa, mtemi Isike, Mangungo, nk unadhani huo Uhuru wangempa kirahisi tu kwa makarstasi ee?
Walikuwa wapi Wao au Wafuasi Wao Kumzuia? Nikisema huna Akili unadhani ninakuonea au nakukashifu wakati kumbe huwa namaanisha na huwa nakuwa sahihi 100% Kwako.
 
Ni huyo huyo Mpenda kupaka 'Super Black' Nywele zake ili Kuficha Mvi zake na asionekane Kijeba ( Mzee ) na 2025 au 2030 agombee Urais nchini.
Majaliwa sio wa kuaminika milele daima. Kaingizwa king kijinga sana na Majaliwa mwenzake. Yaani yule kinda afungue mlango wa ndege!! Hata kujiuliza kashindwa. Mwenye picha ya Majaliwa akivunja kioo cha ndege na nani alimbeba kumpeleka wodini. Kale kamajaliwa kakibaka.
 
Fools are always Supportive to each other.
😂Mkuu mawazo ya Kila mtu yaheshimiwe ukitaka kubwa Kila mmoja awe na mtazamo kama wako utafika umechoka sana. Finally tumia lugha ya staha utaeleweka tu
 
Majaliwa sio wa kuaminika milele daima. Kaingizwa king kijinga sana na Majaliwa mwenzake. Yaani yule kinda afungue mlango wa ndege!! Hata kujiuliza kashindwa. Mwenye picha ya Majaliwa akivunja kioo cha ndege na nani alimbeba kumpeleka wodini. Kale kamajaliwa kakibaka.
Ukiipata hiyo Picha naachana rasmi kuwa Mshabiki wa Simba SC yangu na nahamia Yanga SC Mubashara au naenda Kunya ( Kuukweka ) kabisa MP 1 Lugalo Makongo tena Mchana kweupe kabisa.
 
😂Mkuu mawazo ya Kila mtu yaheshimiwe ukitaka kubwa Kila mmoja awe na mtazamo kama wako utafika umechoka sana. Finally tumia lugha ya staha utaeleweka tu
Naona Sindano imechoma mahala pake.
 
"Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera.

"Huyu Kijana tena Wajina wangu Majaliwa Jackson ni Shujaa kweli na lazima tumpe Asante kwani Yeye ndiyo alienda ilipo Ndege na kwa Kutumia Makasia aliyokuwa nayo akafungua Mlango wa Ndege na peke yake Kuokoa Abiria wote" Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.

Kazi ipo hakyanani.
Majaliwa hili lilikua ni zali lake basi ibaki kuwa hivyo tu hakuna namna ameshatusua maisha kimtindo
 
Kila mmoja anadai kafungua mlango , sema dili limemwangukia dogo majaliwa 😁😁😁
 
Upo sahihi neno asante lilitosha sana ukiona haujawa recognized ujue zamu yako bado hao wahudumu sio muda wa kuleta hyo maelezo ilhali marubani wao wameangamia watulie wamshukuru Mungu yatosha kijana majaliwa ndiye shujaa kwa sasa .
asante.
 
siku zote mlango wa ndege hufunguliwa na mtu wa nje wahudumu walipata ajali waliwezaje kufungua mlango
Ni vyema kama hujawahi kupanda Ndege halafu pia ni Mshamba basi ufiche Umbumbu ( Upan'gang'a ) wako sawa?

Hakuna Mlango wa Ndege unaofunguliwa kwa Nje ( au Mtu wa Nje ) bali hufunguliwa Kwanza na Watu wa Ndani ( Wahudumu ) wa Ndege husika.

Ndege zikiwa ni Kubwa na zimepaki mbali huwa kuna Gari Maalum lenye Ngazi linakuja n Kusogea jirani na Mlango wa Ndege kisha Mlango hufunguliwa na Abiria Kushuka.

Ndege ikiwa ni ya Kawaida ( siyo Kubwa ) Milango yake ambayo pia ni Ngazi hufunguliwa na Abiria kushuka kupitia hapo.

Kwa Viwanja Vikubwa na vya Kimataifa ( kama cha Terminal III ) huwa kuna Majengo Maalum ambayo Ndege husogea Jirani nayo na Abiria mkiwa ama mna Depart au Arrive huwa mnapitia hapo.

Nasisitiza hakuna Mlango wowote ule wa Ndege unaofunguliwa kwa Nje bali yote inafunguliwa kwa Ndani.

Nakushauri futa hii Post yako kwani licha ya Kukuchoresha kuwa hujawahi Kupanda Ndege pia inakuonyesha kuwa huna Knowledge yoyote ya Mambo ya Aviation halafu na hata Uelewa wako ( IQ ) yako ni Ndogo mbo n inatia Huruma pia.

Cc: Kazakh destroyer
 
mimi sijawahi kupanda ndege mkuu wangu, ila kama ni hivyo basi itakuwa inakazia hoja hapo juu.
Acha kuliamini hilo Juha lililokudanganya kuwa Milango ya Ndege hufunguliwa na Mtu wa Nje.

Soma Post yangu @446 nimeielezea.
 
Back
Top Bottom