Sasa ww huu uzi wako una jina la huyo mhudumu? Majina ya Wahanga wote wa Ajali yapo JF hapa toka kitamboHopeless umesema kuwa Wahudumu wote Wawili waliokuwemo Wamekufa hivyo nakuomba ututajie Majina yao na acha blah blah zako sawa?
Huko ndiko Genius Academicians kama GENTAMYCINE na Wengineo wanakotoka na kama hujasoma hapo nakuonea mno Huruma kwani utaendelea kuwa Mpumbavu ( Pang'ang'a ) hadi unaingia Kaburini Kwako.Product za SAUT mnashida sana
Akikujibu, Nishtue !!!Sasa ww huu uzi wako una jina la huyo mhudumu? Majina ya Wahanga wote wa Ajali yapo JF hapa toka kitambo
Sijui ni kwanini Watanzania ni wepesi sana Kudanganyika na kufanywa Wapumbavu ( Mipan'gang'a ) Mkuu.
Ndiyo maana mwaka 2013 Rais Paul Kagame wa Rwanda alimwambia Mpuuzi Mmoja ( sasa Mstaafu ) wa nchi niliyoisahau kwa sasa wakiwa Mkutanoni nchini Ethiopia kuwa anaongoza Maiti tu.Dogo kapiga pesa za wazembe 😂
Ulitegemea kabisa huyu Mpumbavu ( Pang'ang'a ) alijue hilo ( hili ) Mkuu wangu?Wamepona wahudumu wawili
Watanzania wengi ( siyo wote ) hatuna Akili.Black box inasemaje?
Na Upumbavu ( Upan'gang'a ) ni Tatizo Sugu kwa Watanzania wengi Wakiongozwa nawe.Wivu ni ugonjwa wa taifa.
TembaMhudumu gani alie pona kwenye ajali ya ndege? Ebu punguzeni uongo
Mpuuzi mkubwa Wewe nitajie ( tutajie ) Majina ya hawa ( hao ) Wahudumu unaosema kuwa nao Wamekufa wakati wenye Akili Kubwa na Wafuatiliaji wa Mambo ( Masuala Mtambuka ) tunajua kuwa Wamepona na Wako hai.Sasa ww huu uzi wako una jina la huyo mhudumu? Majina ya Wahanga wote wa Ajali yapo JF hapa toka kitambo
Rubbish and Nonsense.Hii nchi watu wanaroho mbaya ajabu watu badala ya kushukuru tu tumetoka salama bado wametoka na uhasidi juu huyu kijana kosa lake ni nini? aliomba haya? kwa kawaida ajali yoyote watu wanakuwa hawaoni kila kitu hasa unapokuwa unapigania maisha lakini hawa wametoka salama lakini utadhani humo ndani walikuwa wanajiokoa huku wanacheka, wahudumu wa ndege ni kazi yao na kama wamefungua ni kazi yao huyu kijana sio kazi yake kajitoa kwenda hata kama kafanya 1% lakini kajitoa kufanya wala hakuna shangazi yake kwenye ndege. Hamjui basi hata kusema Ttunashukuru Mungu maana kuna 19 wamekufa mnaanza wivu. Rizki anatoa Mungu na kijana ndio rizki yake. Swali Majaliwa alikwenda kuokoa au hapana? na yule Mama alisema mvuvi aliingia ndani na kumfungua mkanada kumsukuma nje naye alikuwa muhudumu au?
Ndio nyinyi wachawi hata asubuhi sasa wewe weka story yako unayoijuwa wewe. wavuvi wenzake wamesema ni kweli wewe uko huku unapiga siasa na roho nyeusi.Rubbish and Nonsense.
Kwa Upumbavu ( Upan'gang'a ) huu CCM itaendelea Kuwatawala hadi Siku ya Kiama.Ndio nyinyi wachawi hata asubuhi sasa wewe weka story yako unayoijuwa wewe. wavuvi wenzake wamesema ni kweli wewe uko huku unapiga siasa na roho nyeusi.