GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #101
Nimemaliza hiyo BAMC yangu hapo, nikamaliza na MAMC yangu na sasa nipo mbioni kuanza Doctorate yangu.Hiyo BAMC yako hapo SAUT ulitoka mweupe. Kama na umri ulio nao akili ni kisoda. Ni bure kabisa.
Sasa followers ina msaada gani JF? Ndio maana nakuona una akili kisoda!!Yaani mwenye Followers almost 120 hapa JamiiForums nihukumiwe kama Utakavyo halafu Juha Mmoja Wewe usiye na hata tu a Single Follower ubakie?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Picha la kihindi linalochezwa kwa watu wasio na macho wala fikra. Anyways kukurupuka ndio main character ya viongoxi wetu.UZI KUHUSU MAJALIWA UMETUCHOSHA AKILI.
HAPA UNAUNGANA NA SYSTEM KUHAMISHWA AKILI NA KUPELEKWA KWA MAJALIWA.
MAJALIWA NI WA KUTENGENEZWA.
YANI NI PICHA LA KIHINDI.
AU KANYABOYA.
JAMII FORUM TUMECHOSWAA NA HABARI ZA MAJALIWA.
Ndio maana uli toka MWEUPE. Hukapata Critical Lecturers wakupe Supp za maana akili zikukae sawa.Nimemaliza hiyo BAMC yangu hapo, nikamaliza na MAMC yangu na sasa nipo mbioni kuanza Doctorate yangu.
Je, una lingine labda Ili nikujibu pia?
Kama katika Thread Content yangu hadi katika Headline yangu nimeshasema ( tena Kuwataja ) kuwa ni Wahudumu wa hiyo Ndege sasa unataka nikupe Majina yao ya nini wakati Wanafahamika mno na Wasafiri wa Ndege kuliko Wewe unayesafiri Kutwa na Guta kwenda Kijijini Kwenu?Leta majina ya aliye sema hivyo. Leta na video ya hayo mahojiano. Media gani hiyo?
Narudia. Kama ume soma BAMC na hujui hata jinsi ya kuandika habari. Si ni mweupe kichwani! Habari una andika nani ame sema. Lini? Source. Media gani? BAMC afu una tu andikia hapa hear Say! Rubbish.Kama katika Thread Content yangu hadi katika Headline yangu nimeshasema ( tena Kuwataja ) kuwa ni Wahudumu wa hiyo Ndege sasa unataka nikupe Majina yao ya nini wakati Wanafahamika mno na Wasafiri wa Ndege kuliko Wewe unayesafiri Kutwa na Guta kwenda Kijijini Kwenu?
Ningetoka Mweupe ninge Graduate Bachelor na Masters yangu huku sasa nikikaribia kuanza Doctorate Program yangu?Ndio maana uli toka MWEUPE. Hukapata Critical Lecturers wakupe Supp za maana akili zikukae sawa.
Habari pekee ninayoweza Kuiandika vyema na Kiuweledi ni ile tu ukiwa na Mtu wako Ili Kujazwa Mimba yake.Narudia. Kama ume soma BAMC na hujui hata jinsi ya kuandika habari. Si ni mweupe kichwani! Habari una andika nani ame sema. Lini? Source. Media gani? BAMC afu una tu andikia hapa hear Say! Rubbish.
Yaani Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) Majaliwa Jackson Kwako Wewe ndiyo anastahili Pongezi na kuitwa Shujaa? Sasa naamini kuwa kuna Wendawazimu Milioni Saba ( 7,000,000 ) kwa sasa nchini Tanzania.Kitendo cha kijana Majaliwa kufika pale kwenye ile ndege tu kinatosha kuitwa ushujaa, mengine aliyoyafanya ni nyongeza. Fikiria tuna jeshi ambalo kazi yao kubwa ilikuwa ni hiyo ya kuokoa, ila hawakuweza kuanya hiyo kazi kwa ukubwa ukilinganisha na kina Majaliwa.
Hapa hoja ingekuwa kuwapongeza na wale wavuvi wengine ila sio kujitahidi kufuta ushujaa wa Majaliwa.
Yule kijana anastahili pongezi., hata kama aliokoa mtu mmoja.
Pia huyu kijana amesema ukweli jinsi na yeye alivyonusurika kufa baada ya kupigwa na ile kamba waliyofunga kuvuta mlango, mpaka hapo tu inatosha mengine ni chuki tu na kutotaka kuona wengine wanafanikiwa.
Nadhani umenielewa. Heshimu watu wote JF. Acha kutukana watu hovyo. Mkosoe mtu kwa Hekima. Bisha kwa kujenga hoja. Huo ndio usomi.Habari pekee ninayoweza Kuiandika vyema na Kiuweledi ni ile tu ukiwa na Mtu wako Ili Kujazwa Mimba yake.
Wivuuuuuuuu, maskini wana roho mbaya"Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera.
"Huyu Kijana tena Wajina wangu Majaliwa Jackson ni Shujaa kweli na lazima tumpe Asante kwani Yeye ndiyo alienda ilipo Ndege na kwa Kutumia Makasia aliyokuwa nayo akafungua Mlango wa Ndege na peke yake Kuokoa Abiria wote" Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.
Kazi ipo hakyanani.
Wewe ni miongoni mwa Watanzania Wagonjwa wa akili ambao bahat mbaya hawataki kufika hospital kupata matibabu.Yaani Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) Majaliwa Jackson Kwako Wewe ndiyo anastahili Pongezi na kuitwa Shujaa? Sasa naamini kuwa kuna Wendawazimu Milioni Saba ( 7,000,000 ) kwa sasa nchini Tanzania.
Kwako Wewe kuwa followed na 120+ Great Thinkers siyo la Kujivunia? Kama Mimi nimezaliwa Jalalani Wewe umezaliwa Chooni tena kilichofurika Nnya.Sasa followers ina msaada gani JF? Ndio maana nakuona una akili kisoda!!
Ujue hapa una ongea na watu wengi. Majority wame kuzidi Elimu, Pesa, Ujuzi, Maarifa, nk. Heshimu watu. Siyo mtu mature kama wewe una tukanatukana hovyo watu utadhani umezaliwa jalalani.
Ugonjwa wangu huo ( huu ) wa Akili aliniambukiza Aliyekuzaa tulipokuwa nae mahala tulivu.Wewe ni miongoni mwa Watanzania Wagonjwa wa akili ambao bahat mbaya hawataki kufika hospital kupata matibabu.
Jichunguze vizur utaona kiwango cha ujinga ulichonacho.
Kipi hujakielewa? Tumesema na wengine watambuliwe ila tusikimbie ukweli kuwa Majaliwa kafanya jambo la kishujaa lililowashinda waliopata mafunzo.
Ujumbe wangu kwako.Kwako Wewe kuwa followed na 120+ Great Thinkers siyo la Kujivunia? Kama Mimi nimezaliwa Jalalani Wewe umezaliwa Chooni tena kilichofurika Nnya.
Matajiri mna Matatizo sana ya Akili.Wivuuuuuuuu, maskini wana roho mbaya
Mbona kama wewe ndo muongo? Wapo wameponaMhudumu gani alie pona kwenye ajali ya ndege? Ebu punguzeni uongo
Kwahiyo GENTAMYCINE mkianza Kunidhihaki kwa Kejeli na hata Kashfa huwa mnatoka ninyamaze au niwaogopeni ila nikiwajibu kwa namna ya Kipekee na ambayo huwa Inawauma ndiyo mnaniona Mkosaji?Ujumbe wangu kwako.
Heshimu watu wote JF. Acha kutukana watu hovyo. Mkosoe mtu kwa Hekima. Bisha kwa kujenga hoja. Huo ndio usomi.