Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

Kwahiyo GENTAMYCINE ukianza Kunidhihaki kwa Kejeli na hata Kashfa huwa mnatoka ninyamaze au niwaogopeni ila nikiwajibu kwa namna ya Kipekee na ambayo huwa Inawauma ndiyo mnaniona Mkosaji?

Mnafiki na Juha mkubwa Wewe sawa?
Mm sija kutukana ktk post zangu zote. Ila sipendi tu unavyo tukana watu JF. JF nipo toka 2010.
 
Mm sija kutukana ktk post zangu zote. Ila sipendi tu unavyo tukana watu JF. JF nipo toka 2010.
Vitani huwa tunachaguliana Silaha za Kumzidi nguvu Adui? SI umeanza nami hii Vita ya Maneno? Imalize na acha Kulialia na kutia Huruma sawa?
 
Vitani huwa tunachaguliana Silaha za Kumzidi nguvu Adui? SI umeanza nami hii Vita ya Maneno? Imalize na acha Kulialia na kutia Huruma sawa?
Kwani nime lia? Au niko na wewe nakuelimisha na hiyo BAMC yako uliyo maliza bila kuonana na Dr au Proffesa yoyote.
 
Ugonjwa wangu huo ( huu ) wa Akili aliniambukiza Aliyekuzaa tulipokuwa nae mahala tulivu.
Aliyenizaa mimi anaweza kumzaa baba au mama yako achilia mbali mimi.
Kwa kifupi ujivuni wako wa kujua mambo haujawahi kuwa na tija hata hapa JF achilia huko kwenye jamii yako na unachotakiwa kujua kuwa wewe ni miongoni mwa watoto waliokosa malezi ya wazazi na jamii pia.
 
Nadhani umenielewa. Heshimu watu wote JF. Acha kutukana watu hovyo. Mkosoe mtu kwa Hekima. Bisha kwa kujenga hoja. Huo ndio usomi.
Genius huwa anapangiwa cha Kuandika na Fool?
 
Aliyenizaa mimi anaweza kumzaa baba au mama yako achilia mbali mimi.
Kwa kifupi ujivuni wako wa kujua mambo haujawahi kuwa na tija hata hapa JF achilia huko kwenye jamii yako na unachotakiwa kujua kuwa wewe ni miongoni mwa watoto waliokosa malezi ya wazazi na jamii pia.
Rubbish and Nonsense.
 
"Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera.

"Huyu Kijana tena Wajina wangu Majaliwa Jackson ni Shujaa kweli na lazima tumpe Asante kwani Yeye ndiyo alienda ilipo Ndege na kwa Kutumia Makasia aliyokuwa nayo akafungua Mlango wa Ndege na peke yake Kuokoa Abiria wote" Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.

Kazi ipo hakyanani.
hata mimi nilijua tu itabackfire, viongozi wa nchi hii huwa wanakurupuka sana, hata kabla ya kushauriwa na wataalamu.

A simple common sense inakataa, mlango wa ndege ukifungwa hufunguliwa kwa ndani. huyu toy son wao wamempamba mpaka bungeni aliufunguaje akiwa nje?
 
Kwani nime lia? Au niko na wewe nakuelimisha na hiyo BAMC yako uliyo maliza bila kuonana na Dr au Proffesa yoyote.
Genius GENTAMYCINE naweza Kuelimishwa na authentic Moron and Menta kama Wewe hapa Jamvini?
 
Tafuta wimbo wa K bazi unaitwa riziki.

Mungu kaamua kumfungulia dogo riiziki hata mfanyeje hamuwezi izuia
Huyu Mungu ni kichekesho au? Watu 19 wafe waache yatima, wazazi bila msaada ili majaliwa ainuliwe?!!!
 
hata mimi nilijua tu itabackfire, viongozi wa nchi hii huwa wanakurupuka sana, hata kabla ya kushauriwa na wataalamu.

A simple common sense inakataa, mlango wa ndege ukifungwa hufunguliwa kwa ndani. huyu toy son wao wamempamba mpaka bungeni aliufunguaje akiwa nje?
Usitegemee kabisa a blessed Moron kama WAZO2010 pamoja na Wenzake kadhaa hapa Kukuelewa Mkuu ila Brainiacs Wenzako hapa tumekuelewa mno tu.
 
Hii nchi watu wanaroho mbaya ajabu watu badala ya kushukuru tu tumetoka salama bado wametoka na uhasidi juu huyu kijana kosa lake ni nini? aliomba haya? kwa kawaida ajali yoyote watu wanakuwa hawaoni kila kitu hasa unapokuwa unapigania maisha lakini hawa wametoka salama lakini utadhani humo ndani walikuwa wanajiokoa huku wanacheka, wahudumu wa ndege ni kazi yao na kama wamefungua ni kazi yao huyu kijana sio kazi yake kajitoa kwenda hata kama kafanya 1% lakini kajitoa kufanya wala hakuna shangazi yake kwenye ndege. Hamjui basi hata kusema Ttunashukuru Mungu maana kuna 19 wamekufa mnaanza wivu. Rizki anatoa Mungu na kijana ndio rizki yake. Swali Majaliwa alikwenda kuokoa au hapana? na yule Mama alisema mvuvi aliingia ndani na kumfungua mkanada kumsukuma nje naye alikuwa muhudumu au?
Mungu anatoa riziki kwa kuua wengine 19? Unajua mafhara ya hao 19 kufariki? Mungu hajui kazi
 
Haya umeshinda.
Ulichelewa wapi Kulikiri na Kusema hili mapema? Nina PhD ya Vita ya Maneno na Majibizano na tokea niwe hapa 2013 hadi leo ( 2022 ) sijapata Mpinzani na hiyo ( hii ) Vita huwa naipenda mno licha ya Kuimudu sana pia.
 
hata mimi nilijua tu itabackfire, viongozi wa nchi hii huwa wanakurupuka sana, hata kabla ya kushauriwa na wataalamu.

A simple common sense inakataa, mlango wa ndege ukifungwa hufunguliwa kwa ndani. huyu toy son wao wamempamba mpaka bungeni aliufunguaje akiwa nje?
Fact sio kufungua mlango bali kuokoa abiria wengi.
Kitendo cha kuokoa abiria wote wale ni jambo la kishujaa.
 
Back
Top Bottom