WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,615
- 3,784
Mm sija kutukana ktk post zangu zote. Ila sipendi tu unavyo tukana watu JF. JF nipo toka 2010.Kwahiyo GENTAMYCINE ukianza Kunidhihaki kwa Kejeli na hata Kashfa huwa mnatoka ninyamaze au niwaogopeni ila nikiwajibu kwa namna ya Kipekee na ambayo huwa Inawauma ndiyo mnaniona Mkosaji?
Mnafiki na Juha mkubwa Wewe sawa?