Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Salamu zangu zikufikie Mh. Majaliwa, pole na kazi, ningependa kujua ni nini kimekusibu, kutoka mbele na kukemea suala la mauaji na utekaji ndani ya inchi yetu?
Mbona mwanafunzi akipotea huwa utoa magizo mazito ndani ya siku moja anapatikana.
Wewe ndio mtendaji mkuu wa shughuli za Serikali za kila siku. Taifa bado lina imani na wewe. Toa neno kwa ajili maslahi ya taifa.
Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji.