Waziri Mkuu Majaliwa yupo kimya sana Juu ya mauaji na utekaji

Waziri Mkuu Majaliwa yupo kimya sana Juu ya mauaji na utekaji

Salamu zangu zikufikie Mh. Majaliwa, pole na kazi, ningependa kujua ni nini kimekusibu, kutoka mbele na kukemea suala la mauaji na utekaji ndani ya inchi yetu?

Mbona mwanafunzi akipotea huwa utoa magizo mazito ndani ya siku moja anapatikana.

Wewe ndio mtendaji mkuu wa shughuli za Serikali za kila siku. Taifa bado lina imani na wewe. Toa neno kwa ajili maslahi ya taifa.

Mungu ibariki Tanzania

By mwinjilist wenu Gabeji.
Yuko ofisini anapiga kazi
 
Kwan naomba kuuliza kwann walikuwa. Wana taka kumteka jamaa ? Au ana cheo gan nyetii ..MAANA awawezii mteka mtu hoehae😄 .......ambae Hana madhara
 
Vyombo vya polisi vinafanua upe
Kwan naomba kuuliza kwann walikuwa. Wana taka kumteka jamaa ? Au ana cheo gan nyetii ..MAANA awawezii mteka mtu hoehae😄 .......ambae Hana madhara
Vyombo vya polisi vinafanya uchunguzi
 
Unaweza kusukuma gari ukiwa ndani?

Samia yupo Zanzibar na mkuu wa majeshi eti wanadiscuss mambo ya mkutano wa nchi za kusini mwa afrika duh[emoji3][emoji3][emoji3]

CCM tatizo kinachowaponza makundi ya kutafuta madaraka (teams)

Toka wamkate lowassa CCM haitakaa itulie mpaka kianguke

Ameeen
 
Back
Top Bottom