Waziri Mkuu Majaliwa yupo kimya sana Juu ya mauaji na utekaji

Salamu zangu zikufikie Mh. Majaliwa, pole na kazi, ningependa kujua ni nini kimekusibu, kutoka mbele na kukemea suala la mauaji na utekaji ndani ya inchi yetu?

Mbona mwanafunzi akipotea huwa utoa magizo mazito ndani ya siku moja anapatikana.

Wewe ndio mtendaji mkuu wa shughuli za Serikali za kila siku. Taifa bado lina imani na wewe. Toa neno kwa ajili maslahi ya taifa.

Mungu ibariki Tanzania

By mwinjilist wenu Gabeji.
Anachojua ni maafa ya kutumbukia ziwani na ndege au mafuriko
 
Basi ni heri angejizuru kama haungi mkono serikali ya mama ,kukaa kimya inamuua kisiasa
 
Unaweza kusukuma gari ukiwa ndani?

CCM tatizo kinachowaponza makundi ya kutafuta madaraka teams

Toka wamkate lowassa CCM haitakaa itulie mpaka kianguke
Comments zingine unapoanza kuisoma unategemea kukutana na madini ukimaliza unajuta kwanini umesoma kaka ule niukoo wa panya kama tatizo lilikuwa kumkata lowasa mbona alilejea tena pale pale na maisha yakaendelea😂😂😂😂✋🏻✋🏻
 
I

Ukoo wa panya wanakula mpaka mtumbwi WALIO panda
 
Anaogopa kurudishwa huku uzeeni waka ameshafika ujanani
 
Attachments

  • IMG-20220610-WA0004.jpg
    IMG-20220610-WA0004.jpg
    16.9 KB · Views: 1
Ngoja tusubili wapaluane wenyewe
 
MH Majaliwa kaamua kufanya kazi aliyopewa na mkuu wa nchi,hataki kujifanya msemaji kumpita au kwenda kinyume na BOSI mkuu wa nchi.
Anfuata msemo bwa Residence Magistrate of Masasi Court Mh Kashushu.

" A talkative person can not be nominated to hold out big office, he will come to reveal top secret of big institution,and create chaos...."

Aksante sana Mzee wa bonde la NANDITI kwa kuchagua kukaa kimyaa kwa vitu tata.

Unless mkuu wa nchi anaamua kulisemea, huna haja ya kujifanya Kimbele Front.

🙏🙏🙏

Ulipoongea kauli ya kidiplomasia nkuwan"Rais yupo anachapa kazi" zama za jiwe, walikunanga sana.

Katika haya mwachie mkuu wa nchi, usiwape faida watu.

Nandagala one,

Mpumalanga South Africa.
Nina "Baltazar" zako na "on my own behalf", njoo hapa Kilimani tuelewane.
 
Salamu zangu zikufikie Mh. Majaliwa, pole na kazi, ningependa kujua ni nini kimekusibu, kutoka mbele na kukemea suala la mauaji na utekaji ndani ya inchi yetu?

Mbona mwanafunzi akipotea huwa utoa magizo mazito ndani ya siku moja anapatikana.

Wewe ndio mtendaji mkuu wa shughuli za Serikali za kila siku. Taifa bado lina imani na wewe. Toa neno kwa ajili maslahi ya taifa.

Mungu ibariki Tanzania

By mwinjilist wenu Gabeji.
Bila shaka anakubaliana nao.
 
MH Majaliwa kaamua kufanya kazi aliyopewa na mkuu wa nchi,hataki kujifanya msemaji kumpita au kwenda kinyume na BOSI mkuu wa nchi.
Anfuata msemo bwa Residence Magistrate of Masasi Court Mh Kashushu.

" A talkative person can not be nominated to hold out big office, he will come to reveal top secret of big institution,and create chaos...."

Aksante sana Mzee wa bonde la NANDITI kwa kuchagua kukaa kimyaa kwa vitu tata.

Unless mkuu wa nchi anaamua kulisemea, huna haja ya kujifanya Kimbele Front.

🙏🙏🙏

Ulipoongea kauli ya kidiplomasia nkuwan"Rais yupo anachapa kazi" zama za jiwe, walikunanga sana.

Katika haya mwachie mkuu wa nchi, usiwape faida watu.

Nandagala one,

Mpumalanga South Africa.
Nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom