MH Majaliwa kaamua kufanya kazi aliyopewa na mkuu wa nchi,hataki kujifanya msemaji kumpita au kwenda kinyume na BOSI mkuu wa nchi.Unaweza kusukuma gari ukiwa ndani?
CCM tatizo kinachowaponza makundi ya kutafuta madaraka teams
Toka wamkate lowassa CCM haitakaa itulie mpaka kianguke
Lakin alipaswa kusema hata kwa kuzuga,I'li kuonesha hana baraka zakeMH Majaliwa kaamua kufanya kazi aliyopewa na mkuu wa nchi,hataki kujifanya msemaji kumpita au kwenda kinyume na BOSI mkuu wa nchi.
Anfuata msemo bwa Residence Magistrate of Masasi Court Mh Kashushu.
" A talkative person can not be nominated to hold out big office, he will come to reveal top secret of big institution,and create chaos...."
Aksante sana Mzee wa bonde la NANDITI kwa kuchagua kukaa kimyaa kwa vitu tata.
Unless mkuu wa nchi anaamua kulisemea, huna haja ya kujifanya Kimbele Front.
🙏🙏🙏
Ulipoongea kauli ya kidiplomasia nkuwan"Rais yupo anachapa kazi" zama za jiwe, walikunanga sana.
Katika haya mwachie mkuu wa nchi, usiwape faida watu.
Nandagala one,
Mpumalanga South Africa.
Anajua kila kituLakin alipaswa kusema hata kwa kuzuga,I'li kuonesha hana baraka zake
Waziri mkuu wa hovyo kabisaKazi ni sana, serikali ipo kama haina wazirikuu , mfumo umepiga kufuli
Huyo mzee ni hovyo kabisaDuuu! Kazi kweli
Yeye ni sehemu ya mfumo wa kishetaniInawekana anabanwa na mfumo mbovu wa ccm
Ni mtu wa hovyo snNi ameamua kukaa pembeni kabisa, au hawapo Sawa na mama
Hata VP Dr Philip Mpango huwezi kumsikia.Salamu zangu zikufikie Mh. Majaliwa, pole na kazi, ningependa kujua ni nini kimekusibu, kutoka mbele na kukemea suala la mauaji na utekaji ndani ya inchi yetu?
Mbona mwanafunzi akipotea huwa utoa magizo mazito ndani ya siku moja anapatikana.
Wewe ndio mtendaji mkuu wa shughuli za Serikali za kila siku. Taifa bado lina imani na wewe. Toa neno kwa ajili maslahi ya taifa.
Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji.
Yeye mwenyewe akiongea yatamkuta.Salamu zangu zikufikie Mh. Majaliwa, pole na kazi, ningependa kujua ni nini kimekusibu, kutoka mbele na kukemea suala la mauaji na utekaji ndani ya inchi yetu?
Mbona mwanafunzi akipotea huwa utoa magizo mazito ndani ya siku moja anapatikana.
Wewe ndio mtendaji mkuu wa shughuli za Serikali za kila siku. Taifa bado lina imani na wewe. Toa neno kwa ajili maslahi ya taifa.
Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji.
Hakuna Braza.....Hata watuchinje nchi nzima tukaisha ndani ya ccm hakuna atakayetutetea.Mfumo ni hovyo sana, ndani ya ccm ina maana hayupo hata mmoja anaye weza kukemea mauwaji, utekaji, ukimtoa walioba
Yeye mwenyewe aliteka mgombea wa Chadema wa jimboni kwake ili apite bila kupingwa,huyo ni shetani tuSalamu zangu zikufikie Mh. Majaliwa, pole na kazi, ningependa kujua ni nini kimekusibu, kutoka mbele na kukemea suala la mauaji na utekaji ndani ya inchi yetu?
Mbona mwanafunzi akipotea huwa utoa magizo mazito ndani ya siku moja anapatikana.
Wewe ndio mtendaji mkuu wa shughuli za Serikali za kila siku. Taifa bado lina imani na wewe. Toa neno kwa ajili maslahi ya taifa.
Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji.